Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini Katika harakati za kutafuta maisha nimepata wazo la kufanya biashara ya viazi ulaya dar, kwa sababu moja kuu dar kuna high demand ya viazi ulaya kwa mahitaji ya chips na kadhalika Jf...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
NINA MTAJI WA MILION 10 NAHITAJI KUFUNGUA HARDWARE SINA EXPERIENCE NA OMBA WAJUZI MSADA WENU NIPO ARUSHA
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nipo wilaya wa kilolo huku nafanyaga mishe za picha, wanasemaga safari 1 huzaa nyingine. Nimeona fursa ya kuuza vifaa vidogovidogo vya Sola kama redio, tochi, betri za Simu chaja kobe, na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za wikiendi wakuu. Bila Shaka yu wazima wa afya kabisa, labda tu nisiwachoshe, nimeamua kuandika Uzi huu maalumu Kwa ajiri ya kujifunza ujasiriamali. Mafunzo hayo nitayatoa hapa hapa...
23 Reactions
79 Replies
17K Views
Haya twende kazi
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa siongeleei siasa Naongelea experience katka muhula huu nimeenda sector n taasisi za serikali karibia Zote -Idara ya maj -tanesco - hosptal tena huku hal mbaya - Nilichokikuta aisee kuna...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau! Leo napenda kuelezea kwa kina gharama na mambo muhimu kuhusu radio jamii. Natumaini nitajihidi kuelezea angalau kwa asilimia tisini hivi. 1. Radio Jamii (Community Radio)...
3 Reactions
12 Replies
9K Views
Biashara ya chakula ni moja ya biashara nzuri na yenye faida na inayoweza kukutoa from zero to hero ndani ya mwaka wako mmoja tu ukikomaa ipasavyo kazini kwako, lakini ili ikutoe kama inavyotoa...
45 Reactions
133 Replies
40K Views
👨‍💻 ( POWER OF SETTING SPECIFIC GOAL) Bado tumejikta katika mada yetu ya hatua za mafanikio kipengele cha KUJIWEKEA MALENGO MAALUM. Swali : Hivi kuna mahusiano gani kati ya malengo na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa nchi na kujipatia kipato pia. Kama kichwa kijielezavyo naomba msaada wenu kwa anaefahamu process za...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Poleni kwa majukumu wakuu. Kiroho safi naomba niende kwenye kichwa cha habari ambapo ningependa kuuliza kwa ambaye ana takwimu sahihi kuhusu kiasi cha ndege zinazotua uwanja wa Chato iwe per day...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam wanaJamiiforums Bila kuzunguka direct to the topic. Ssa wadau baharia Fene nina kijishamba changu cha minazi ambacho nimegundua wenda nikiwa serious nacho wenda na mimi nikawa top pale...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa lengo la kuongeza kipato. Nimekaa na kutafakari nikapata mawazo kwa matatu ya kuongeza kipato kutokana na kiasi kidogo cha pesa nilichonacho. 1: Nimewaza kununua pikipiki kwa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet, Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya...
5 Reactions
25 Replies
9K Views
Huwa naskia tu mambo ya hati fungani huko serikalini kuwa kuna 15.6% unaweza ipata kwa kiwango ulichowekeza kila mwaka! Je, kuna ukweli wowote juu ya jambo hili maana hii serikali ya michongo...
18 Reactions
93 Replies
11K Views
Mwenye uzoefu wa mashine za kufua na imara na kampuni mzuri kwa kufanyia kazi kibiashara. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji Carina Ti ambayo Ni namba C au D Iwe haijawahi pata ajali -Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau Habari za leo naomba leo niwaelezee namna uwekezaji kwenye dhahabu ambao kidogo hauna risk kubwa kama unataka kuingja kwenye biashara ya dhahabu uwekezaji upande wa service huu mzuri sana...
11 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari wakuu?samahani naomba muongozo wa kuanzisha biashara ya vipuli vya pikipiki
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Habarini wana Chuga. Nafikiria kufungua Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi Arusha, sehemu ambayo ina mzunguko mkubwa wa watu iliyopo pembezoni mwa bara bara Arusha mjini. Ningependa...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom