Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Katika maisha Yangu Nina ndoto ya kutoa huduma... Hasa huduma ya usafiri! So katika maisha Yangu napenda biashara zenye uhitaji wa lazima kwa watu.. Sasa kutokana na umasikini hasa katika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja...
2 Reactions
5 Replies
721 Views
Kuna jamaa yangu anahitaji malori ya tani 30 kwa akili ya kuchukua korosho masasi kuzileta kurasini. Bei ni 70,000 kwa tani. Malipo ni 50% wakati unaenda kupakia na iliyobaki mtalipana mzigo...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Offer OFFER offer. Kwa mara nyingine jipatie raba Kali kwa shilingi elfu kumi na mbili. Ukinunua kuanzia 2 inakua 10000. Nipo kariakoo karibu na shule ya jangwani. Nicheki 0620239355
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu ninajishughurisha na kilimo changamoto ni hiyo mashine ya kupandia mwenye nayo anione inbox tuelewane. asanteni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara...
41 Reactions
54 Replies
8K Views
Kama wewe umeshawahi kutafuta gari za mkononi hasa kwenye mitandao ya kijamii utakuta kuna gari zimefichwa namba, zipo sokoni, Ma-Agent/ Dealer/ Madalali na wauza magari kadhaa wamekua wanaziba...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Nlikuwa na kasafari naona wamekomalia mabasi fulll hadi tarehe 26 Now plan zangu kupanda gari za tanga tu nkifika pale naungansha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamvi naomba kuuliza hizi barafu au ice cream za maziwa zinaweza kukupa faida kweli kama utauza kwa mia mia?? Naomba mchanganuo wake wa mahitaji gharama zake na idadi ya barafu...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Habarini za mchana ndugu zangu Wana jamvi. Ninaomba msaada wa kupata uzoefu na mahitaji yanayo takiwa katika kuanzishia biashara ya Ice cream zenye ubora kwa mtaji wa TSH milioni 4. Nilipo nipo...
4 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii. Katika maisha Kuna kipindi mtu unakutwa na changamoto za kifedha mpaka unaamuua kuuza asset zako Kama njia ya kujikwamua. Shida huwa sio kuuza au kuamua kuuza shida huwa Ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanajamvi wenzangu Kama uzi unavyojielezea, kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye nini, watiririke vipi hatua kwa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wadau wa JF Nataka kuanzisha biashara ya mtaji usiozidi laki tano lakini nahitaji zile biashara za kwenda sehemu(zinakopatikana kwa wingi na nafuu) kujumua mzigo kisha kuuza kwa jumla yani...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa hiki kinachoendelea sasa ni unyanyasaji wa wazi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba. Hii kunyatia kulipora soko la Magarini kwa mazao ya Ziwani na kutaka soko...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Niliagiza mzigo kutoka U.S.A kupitia Fedex, leo nime track naambiwa mzigo umefika Dar es salaam, clearance instruction from importer are requred. Nini natakiwa kufanya pia hizi instruction nampa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu humu Naombeni mwenye uzoefu wa kuagiza bidhaa china anisaidie nahitaji kuagiza bidhaa kutoka huko
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Jambo ndugu zangu Kuna jambo nataka kuuliza Hivi mgeni akitaka kuwekeza TZ ni vitu gani anahitaji kuwa navyo ili kupata leseni ya biashara? Na kufungua bank account? Na namna gani ninaweza...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote. Lakini kabla...
23 Reactions
54 Replies
10K Views
Wadau habari, jamani nahitaji viatu kama hivi kwa ndani ya mkoa wa Arusha na vipi bei ikoje?? Ahsanteni Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom