Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari ya leo wakuu,nilianza biashara yangu mwaka 2018 na nili base zaidi katika usafi wa kutatua changamoto ya uchafu sugu katika Tiles na Masink Biashara hii nilikuwa niki fanya zaidi katika...
17 Reactions
60 Replies
9K Views
Utakuta mtu biashara ya gesti wanaolala ni waswahili, lakini bango huko nje limeandikwa " Peice guest house" hakimanisha peace. Wengine utakuta JB HAIR SALOON badala ya salon. Wengine utakuta...
0 Reactions
4 Replies
826 Views
Lmhynhnbhn7nbnhumgnhnnh
0 Reactions
2 Replies
550 Views
Kwa wale wanao agiza bidhaa from abroad sanasana China, bidhaa gani unaweza mshauri mtu anaeanza hiyo biashara lets say mtaji wa kuanzia m5, mtu ambae hajawai fanya biashara hii haendi China...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kwa mwenye kuweza kunisaidia mkopo wa sh. 1.5M Nina tatizo kubwa nahitaji litatua...Mimi ni muajiriwa kwenye NGO naomba nitakua nalipa kila mwezi 10% tafadhali sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza mwenye uelewa au aliewahi kufanya online purchasing za tronics kama Ps4, ps3, simu nk. kwa hawa watu wakenya wenye page Ig, hawa watu bei zao ni cheap sana...
0 Reactions
3 Replies
541 Views
Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Nataka kuanzia taasisi ambayo ni non-profit. Itahusika na kuwasaidia wanafunzi. Ila nategemea kuomba funds kutoka kwenye makampuni kama ya simu na mengine. Je nifanyeje? au hakuna haja ya kuwa...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Hello wadau. Nimefungua duka la nguo za mtumba eneo flani.. lakin kwa sasa nimeweka vinguo t vya kitoto na kanzu za msikitini za kiume. Ila biashara ya baibui za mtumba na vinguo vyngn vya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za majukumu jamani. Samahani, naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi na hivi vitu. Kipi kina risk kubwa kati ya betting nikimaanisha masuala ya soka na vitu kama hivyo ukilinganisha na Forex...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Naimani mko poa wana JF kama mada ilivyo naomba mchango wenu. Utasikia watu wengi wakisema kwenye siasa na biashara hauwezi kutoboa kama hujaenda kwa wale wazee wataalamu binafsi sina hakika...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hizi ni fursa za biashara ambazo mtu anaweza akafanya maeneo ya ufukweni mwa bahari ambapo watu wengi huenda kwa ajili ya matembezi au mapumziko. 1. Kukodisha Life Jacket kwa ajili ya kuogelea...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu angalieni Hii List ya Makampuni Yetu Ya Ktz 1. Safaricom [emoji1139] $13.3bn 2. TBL [emoji1241] $1.4bn 3. Equity [emoji1139] $1.3bn 4. KCB [emoji1139] $1.2bn 5. EABL [emoji1139] $1.1bn 6...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu, Bila kupoteza mda naomba mnitoe tongotongo kidogo kuhusu hizi IPHONE 12 zinazouzwa KIKUU (Rejea picha ya chini) kwa bei sawa na bure maana kuna rafiki angu kanishirikisha hii ishu...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Wapendwa poleni na majukumu. Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla . Napatikana dar temeke Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi. ...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa leo nitaelezea taaluma chache, ambazo ukizitumia vizuri zinaweza zikakuweka kwenye 'rank' ya kimataifa. Lugha utakayotumia ni 'English' kwa sababu sehemu nyingi wanakitumia duniani. Fani: i)...
3 Reactions
13 Replies
883 Views
Unazijua Boxer? Toleo la Kwanza Zile ndefu. Ndio hii hapa sasa Ilikuwa ikitumika kwa Safari za Ofisini na bro yangu ambaye ni Askari. Haijawahi kubebewa Mizigo wala Abiria (as bodaboda) *Inapiga...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom