Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Huwa nikiwaza wahindi nafikiria ni kweli Biashara bila uchawi haiendi kabisa, Wahindi ni watalamu wa Management na pia wana spirt ya biashara. Lakini lipo kuja swala la Uchawi kwenye biashara...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Biashara ya kununua na kuuza screpa Wewe unakaa tu oficini vijana wanakuletea machuma chuma unawapa hela yakijaa unapeleka kiwandani na wewe unapewa hela mwenye uzoefu na hii biashara...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naomba kujua wapi nitapata pool table?
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Kuna comment moja aliitoa mdau wa humu jf, alisema huwez kuwa tajiri bila kufilisika, akimaanisha kuwa kwenye harakati za utaftaji, huwez fikia mafanikio ya kifedha, bila kupitia kipindi cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawatakia wakati mwema waheshimiwa. nimeweza kusikia kwa baadhi ya watu ambao pia sio matajiri kwamba mbinu za kuwa tajiri ni nyingi lakini baadhi ukizingatia utajiri hautachelewa kwako. kuwahi...
8 Reactions
85 Replies
15K Views
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa...
10 Reactions
36 Replies
6K Views
Pindi kampuni inapopoteza nguvu ya kiushindani, faida pia hushuka (profitability falls) japo si lazima Kampuni kufa. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikielezwa kama chanzo kwa kampuni kupoteza...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika biashara ni kawaida kukutana na wateja wa aina tofauti tofauti na wateja wote kama tujuavyo ni muhimu na hutakiwi kumpa huduma yako mteja vibaya hadi ajisikie kwamba hataweza tena kuja...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita. Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo.. Nadhani wote mu wazima wa afya na mnaendelea na mitikasi ya maisha Mimi ni kijana wa miaka 20 ambaye Nina ndoto za kufika mbali..mwaka Jana baada ya shule nilijiweka mtaan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wangu wa jamii forum Naomba kujua wapo naweza pata materials ya t-shirts printing (kutumia screen printing).. Itapendeza nkipata mbeya mwanza na dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwaen tajwa hapo juu chajieleza ninauza nyaya kwa bei pouwa kabisa. Kuanzia Tani Moja Kwa mawasiliano tuwasuliane kwa namba 0626446047 Pia kama unauhitaji na makontena ya futu nne na sita...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
Na Mr. Purpose. Nimekuwa nikifanya online business kuanzia mwaka 2018, ambapo nakumbuka nilikuwa nafanya application za vyuo, mkopo na usajili wa makampuni kupitia BRELA. Huduma hizo nilianza...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kufanya kazi na ndugu yako kuna faida nyingi kuliko changamoto au kuna changamoto nyingi kuliko faida? Funguka
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni kijana ambaye kwa sasa nataka kuingia mtaani na kuanza kujiajiri na nimefikiria kuhusu biashara ya viatu vya mtumba na mzigo nimepanga niwe nachukulia MBEYA naombeni kujua kwa wote...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau vp... Mm Nina laki moja nataka nifanye biashara, biashara gan inafaa kwa mtaji hu?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wana jf, Naombeni muongozo kwa mwenye uwelewa wa mazingira ya Mwanza anipe mwanga ni wap naweza pata viatu vya mtumb (raba) kwa ajili ya biashara. Ningependa ufaham n wapi na lin naweza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa wale waliosoma issue za uchumi wajaribu kunielewesha ni kipi kitatokea endapo taasisi tajwa hapo juu zitafilisika ghafla Je, ni kipi tufanye sisi raia wa kawaida kujiandaa na matokeo ya...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom