Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nimesikitishwa sana na hizi tozo za kila kukicha sijui hizi bank zinatafuta utajiri wa namna gani kutoka kwa wananchi wanao unga unga kila siku. Nilikuwa tu natoa hela kwenye ATM ya bank nyingine...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Naomba ushauri. Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje? Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii huenda ikawa habari poa kwa wakulima na wale wenye mipango ya kufanya uwekezaji katika kilimo. Habari ni kuwa zao la Vanilla lililolimwa na kuvunwa vyema kwa sasa huuzwa Kati ya dola za...
3 Reactions
94 Replies
75K Views
Jamani natafuta kifaa kiitwacho detector kinachotumika kupima madini kwenye kwa ku sensor mwenye utaalamu nacho anitafute please 0712696226
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Habari zenu JF expert members. Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari, natumai ni wazima nyote. Mimepamiss hapa Jamii Forums kwasababu nina muda mrefu sija post chochote na inatokana na maisha na ubize ila sio shida leo nimekuja na kanuni ya "The one thing"...
6 Reactions
11 Replies
983 Views
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara Sifa awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko awe na...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
2 Reactions
7 Replies
6K Views
The majority of individuals choose to live in poverty. They fail to achieve their objectives because they were too sluggish to wake up and work; others fail to earn as much as they expected simply...
2 Reactions
2 Replies
756 Views
Je, biashara ya real state ikoje? Unahitaj sh ngap kuanza? Kuna njia nyingine?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wadau na wataalamu wa biashara ya pharmacy, Nimefanya mchanganuo na kupunguza kiasi chote kinachohitajika katika harakati za kufungua pharmacy na kubaki na 30m. Je hii 30million...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama...
12 Reactions
121 Replies
12K Views
Habari wadau!, Ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba. Ningependa kujua utaratibu ukoje. Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof. Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Habari wanajamvi nauliza kwa sasa kati maeneo ya Sinza au Kinondoni wapi panafaa biashara ya nguo za kike
0 Reactions
1 Replies
989 Views
AIBU YAKO UMASKINI WAKO Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Hellow wana JF, Nimeanzisha uzi huu ni kwamba mwanzo nilikuwa Naagiza bidhaa china kwa kutumia Aliexpress tangu 2018 lakini ilipofika mwaka huu mwanzoni oda zangu zilikuwa zinachelewa sana kufika...
1 Reactions
5 Replies
740 Views
Habarini wanajamvi Mimi ni kijana ninaevutiwa sana na ujasiriamali, na ningependa kuanza safari yangu hii ya ujasiriamali na mradi wa chips maana ni biashara ninayoona inalipa zaidi kwa mazingira...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom