Matapeli au wezi ni watu wenye akili sana kwenye kazi yao mimi nakumbuka kwenye miaka 90 hivi nilienda kko kununua nguo sikukuu basi nikakuta suruali nzuri ya kitambaa jamaa kaishika anauza...
Biashara ya kuwa wakala huwa mara nyingi kama sio zote ni biashara za muda sana na sio sustainable. Make Ili uendelelee kuwepo kunahitaji mwenye mali aendelee kuwepo.
Chukulia mfano ulikuwa...
Je, nitapataje shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukuza biashara ambayo tayari nimeshaianzisha? Kila kitu kipo mahali pake ikiwa pamoja na kuwa na taarifa za soko na tayari nimeshapata mikataba ya...
Entrepreneurship is not easy and knowledge can be a decisive factor whether you fail or succeed.
Find below a list of books which would provide immense value for all existing and aspiring...
Wadau kwema kuna fursa imetoka DCB bank wanatoa account ya fixed yenye riba hadi 14% kiwango cha riba kinatofautiana kutokana na kiwango cha uwekezaji wako
Uzuri faida yake unachagua upewe kwa...
Habarini Wana jukwaa
Nahitaji investor serious awe na uelewa hata kidogo wa masuala ya online volatility index trading. Kiwango cha chini cha investor huyu kianzie Million 5. Nafanyia kazi mahala...
Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka...
"Tanzania and Uganda Currencies are the best performing media of exchange in East Africa against dollar."
Wataalam wa fedha,tufafanulieni watanzania,tusio wataalamu wa fedha.Ili tuzidi...
Kwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking...
Habari humu JF
Leo nimeona nije na Changamoto ni jinsi gani mtu aweze kufanya biashara bila kuathiri Ajira yake.
Kwani sasa Ajira nyingi zimekuwa zikichukua muda wote katika siku week na hata...
Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato.
Chunguzen sitovitaja vituo husika...
Wadau mungu awe nanyi naombeni ushauri nifanye biashara gani ya kupiga pesa ya chap chap kipindi hiki cha likizo kwa mtaji wa laki 7 maeneo nilipo ni mbagala dsm
Mungu awabariki...
Kuna hii kauli ya Mteja ni Mfalme ni moja ya kauli mbaya na ya dharau kwa wafanyabiashara, ni kauli ambayo siiipendi kuisikia hata kuona mtu anaitamka mbele ya macho yangu.
Pesa ni roho...
Wkuu kama kichwa cha habari hapo juu
MwezI ujao nataka nizamie Katoro baada ya kujichanga changa na kupata mtaji wa m1.5 ,sasa nauliza mimi kama kijana 22 yrs, nataka nianze kujitegemea na kuacha...
Wakuu!
Habari ya majukumu.
Naomba msaada wa kampuni ya usafirishaji kwenda Pakistan, gharama kwa mzigo wa nusu kilo, iwe kwa ndege au meli. Mzigo ni iliki.
Natuma sample nusu kilo, akiipenda...
Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili.
Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi?
Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi?
Aina za wakazi wa mji...
Hi to everyone, and hope you're doin fine.
Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa.
Ni mradi mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.