Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wana Jamii Forum habari za mapumziko ya siku ya 14.10.2021! Ikiwa leo ni miaka 22 tangu kifo cha Baba wa Taifa
2 Reactions
15 Replies
2K Views
SANDALS KWA BEI POA YA JUMLA NA REJAREJA +255657291795 WhatsApp nikutumie sample zaidi
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama wewe ni mjasiriamali unayetafuta wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram lakini unahangaika basi inawezekana unafanya makosa yafuatayo: Unatangaza bidhaa / huduma unazotoa: Mitandao...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu habari? Nina hili wazo la kufungua youtube channel ambayo content yake itakuwa mambo ya ujenzi lakini kabla ya kulitekeleza, naomba nipate mawazo yenu yatakayonisaidia nisipate hasara. Timu...
2 Reactions
11 Replies
912 Views
Habar zenu naomba kuuliza kwa Dar es Salaam wapi? Naweza pata simu za button za jumla jumla, protector, makava na betri na nk... Me nipo Arushaa
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wajumbe kwa wale walioko dar es salaam naomba tujuzane microfinance yenye riba nafuu,na masharti yenye kuvumilika,Asante N:b ukiweka na mawasiliano itakuwa vizuri zaidi,asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za majukumu wa JF, Naomba msaada nataka kujua kuhusu huduma hii ya kufanya miamala ya bank na M-Pesa. Hivi naweza kuamisha mpesa niliosajili mkoa wa mwanza kwenda kufanya kazi mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Naomba kuuliza kuhusu swala la “BENEFICIAL OWNER” kama kampuni imefunguliwa na kila shareholder yupo kwenye memart na Director wote wako stated, kuna haja yoyote ya kufuata izi procedure...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, Heshima sana kwenu. Naomba nijielekeze kwenye mada mohja kwa moja. Tangu niifahamu sekta ya fedha niliiona CRDB kama moja ya benki zenye kasi, ubunifu na hata umakini kiutendaji...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
My incubator fails to hatch eggs...what could be the problem?
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Hayati JPM aliamini kuwa cha kwetu ni cha kwetu na inatubidi kuwa na uzalishaji wa kwetu na ndio maana mambo mengi yalifanyika ndani ya nchi kwa mafanikio makubwa pia. Mhe rais Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
2 Replies
628 Views
Dhana/mbinu ya uthibiti wa ubora katika biashara yaani "Total Quality Management" (TQM) kwa mara ya kwanza ilianza kutumika miaka ya 1980 na kampuni za Kijapani, baadae mwanzoni mwa miaka ya 1990...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia. 2 Sambusa. Mapishi ya...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Nimekutafuta Sana lakini mpaka Sasa nimezikosa kwa hapa bongo,
0 Reactions
3 Replies
470 Views
Habari wanajf Nataka kufanya biashara ya kuuza soda Kwa jumla vile kama deport Zinaitwa Sasa shida yangu ni kupata namba ya mhusika ambae moja Kwa moja atanisaidia mambo yote muhimu Ningependa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za jioni, natafuta spare za gari za ford km unauza naomba unicheki tufanye biashara. Aksante
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom