Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam? ========= Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Nahitaji kufungua pay pal account nina Mastercard ya NMB kuna mtu aliniambia natakiwa niunganishe kwanza Mastercard na internet sijui hapo ndio kaniacha na yeye ananipa maelezo ya kukisia. Naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umuofia kwenu ! Wadau kwa maoni yangu hawa CCM wanahitaji kuwa na katiba yenye afya,katiba inayotoa wigo wa kidemokrasia ndani ya chama kwa maslahi mapana si tu ya chama chao bali kwa taifa...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Habar wakuu Nina idea yakufanya biashara ya kulenga magari .yaan nanunua gari za Bei ndogo 4m,3.5m,5m Kisha kuziuza kuzitafutia wateja kwa faida ya pesa kidgo kuanzia 500000..wajuzi wamambo nipeni...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba ushauri juu ya namna ya kuanzisha na kuiendesha biashara ya mkaa
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu, Polen na majukum. Nina swal hivi kama unafanya biashara mtandaoni unawajibika kulipa Kodi na ilhali huna duka?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza kurejesha gharama za juu za kuunganisha umeme kama ilivyokuwa kabla ya 2020. Gharama ya nguzo moja (ndani ya Mita 30) laki 3+, yaani kama nyumba 5 ziko...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
𝑁𝑎𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐺ouging 𝑅od 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑎𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑖 𝑖𝑛𝑏𝑜𝑥 𝑝𝑙𝑒𝑎𝑠𝑒
1 Reactions
11 Replies
759 Views
Habari waungwana, Nina ofisi yangu ya biashara huku mikoani nataka nijiunge na moja ya kampuni hizo Max-Malipo au Selcom paypoint. Naomba mnijuze ipi ina faida zaidi kwenye vocha, LUKU na huduma...
4 Reactions
12 Replies
20K Views
Salaam! Wakuu natafuta connections ya muuzaji miwa malipo cash kwa bei ya jumla Tafadhali sihitaji Dalali nataka connections na mkulima mwenyewe
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu Jf. Heri ya mwaka mpya 2022, natumaini wengi wenu ni wazima na wale wenye udhaifu wowote basi Mungu aliye juu sana awatie nguvu ,shauri ,ujasiri na uhodari katika kushinda udhaifu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa Michezo habari, Naomba Kujuzwa. Chimbo gani naweza pata viatu vizuri vya Michezo vya Jogging! Kama Nike. Unaweza Kunielekeza Mitumba pia sababu Viatu Vizuri na Bei nzuri vinapatikana...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau ! vuta picha kama yule mgogo amelala kweli usingizi leo au ndo kalala usingizi wa mang'amung'amu
4 Reactions
14 Replies
806 Views
Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi. Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Nani amewahi ifanya anipe experience , je, ina faida kweli au ndio mambo ya matikiti...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Habarini, Naomba mwenyekufahamu pump hizi zinapatikana wapi au kwa nani. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
561 Views
Habari ndugu zanguni nyote. Ni wiki sasa nawaza na kuwazua nifanye biashara gani ili nisipate hasara? Tayari nimeshalipia flem( niliiwahi kwa kuwa zipo chache huku mtaani) Kabla niliwaza...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof Price: 20,000/= Contact: 0713722679 au 0753411316 Delivery: Free around Dar es salaam City Centre
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom