Habari za jioni unaesoma thread hii, kuna mtu alini invite Tala foundation nikakubali na kuangalia kuhusu wao na nikaona kwamba wanatoa mikopo ya chapchap....
Basi nikajaribu kuwasiliana nao kwa...
Hbarini wafanyabiashara.
Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge.
Nikaona nifungue...
Jamaa yangu ana kiasi Cha Tzs 18m. Anataka kufanya biashara ya online tv, nimemwambia aachane nayo, afanye biashara ya saloon ya like na kiume.
He ungekuwa wewe ungemshauri kitu gani
Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous...
Habari wakuu.
Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini...
Naomba mwenye uelewa anisaidie nataka kuanzisha biashara km ilivyoelezw hapo juu je n hatua gn z kufata? Je changamoto zkoje? Na faida zkoje? Kwa maana comission zkoje?
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na...
Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka.
Chanzo cha hali hii ni nini?
Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni...
Habari za mchana raia wawajibikaji, bila shaka mu wazima.
Naomba ushauri kuhusu
*Mtaji
*Maeneo mazuri kibiashara
*Undeshaji.
Biashara ya mgahawa wa nyama choma, aidha kitimoto/mbuzi au ng'ombe...
Habari JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii.
Hivyo naomba mtu...
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
Kabla sijakwambia hayo makosa...
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo.
Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano.
Binafsi...
maisha yana kwenda kasi sana.kipindi cha nyuma kabla mchina kutuletea mabaja ya kubebea mizigo kulikuwa na m'badala wa usafiri ambayo ni maguta na matoroli ambayo yana tumia mataili ya gari.
Huyu...
Habari wana jamvi.
Samahani wanajamvi, ninawazo la kutaka kufanya biashara ya kufungua duka la vyombo vya ndani. Kama kuna anaejua sehemu vinakopatikana kwa bei ya jumla jumla lakini kwa bei...
Habari za saa hizi wadau.
Samahani, kwa wale wenye hujuzi wa Skrill naombeni mnisaidie, Ni document gani unakumbuka uliwasilisha kwenye kipengele cha Adress Verification na wakakubali. Maana kila...
Wakuu,
Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.
Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.
Je ni sehemu salama pia?
Asanteni.
Project management (Usimamizi wa miradi) ni matumizi ya ujuzi maalum(skills) na zana(tools) ili kufanikisha malengo kwenye muda uliopangwa.
Ujuzi wa Project management unakusaidia kuboresha...
Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu
Hii ni IDEA naigawa kwa wale wenye kuitaji maana me sina uwezo wa kuiendesha .
Ni biashara ya huuzaji wa mafuta ya petrol ktk vyombo vya usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.