Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wadau naomba Ushauri wenu.Baada ya kumaliza Chuo na kukosa Ajira nimeamua kujiajiri kama Wenye Nchi wanavyoshauri. Nataka KUFUNGUA biashara ya MPESA. Ninachokiomba kwenu ni kujua MTAJI sahihi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana Jf Biashara zote zinanivutia Nina mtaji was milion 40 nahitaji kuwekeza kwenye hizi biashara mbili kwa ushauri wenu niingia kwenye biashara ipi Location ipo Dar nataka kuuza Jumlaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mwenye kujua lolote kuhusu hili,nataka kusajili App yangu inayojishunghulisha na Soko la mtandani. Watu wanaweza kuuza na kununua bidhaa kupitaia App yangu. Wapi naweza kusajili...
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Natumai mu wazima wadau, Katika pitapita zangu mitaani nimeona maduka yanauza Ice cream pamoja na snacks za kutafuna na unakuta pamejengwa mazingira mazuri kuna viti na meza nje watu wanatoka...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
How much will you make? How much do you require to start? What do you require to start? Get detailed Excel Workbooks answering the above questions about the following businesses: Restaurant...
1 Reactions
0 Replies
786 Views
Wakuu kwa mara nyingine tena: Pikipiki zimeenea sana sasa hasa katika jiji letu la Dar es salaam.Hii inanifanya nione biashara ya spea za pikipiki itakuwa inalipa sana? Sijajua upande mwingine...
2 Reactions
251 Replies
135K Views
Waungwana ninataka kujenga ukumbi ambao utakuwa kwa matumizi mbalimbali. Walengwa ni watu wa harusi, mikutano na semina. Ukumbi nategemea kuujengea Kibaha. Nitazingatia facilities kama parking na...
2 Reactions
20 Replies
13K Views
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Natumaini mko wazima na Afya tele. Nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji wa PIKIPIKI Mfano: FEKON na BOXER. Nimekuwa nikinunua pikipiki tangu Mwaka jana kwa ajili ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jabari za wakatii huu kiongozi & Viongozi mliopo huku JamiiForums natumaini yangu wazima mimi nikijana wa miaka 20 nataka nijiajiri ila sijui nijiajiri kwenye shuhuli gani msaada wenu kazi ipi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM. Nayasema haya kwa maana juzi...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
  • Closed
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi...
17 Reactions
225 Replies
32K Views
Hello wana jukwaa nawasalimu katika jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] Kama kichwa cha habari kinavyosema nina mtaji wa M4 na nashawishika kufanya biashara ya kuwa blocker/dalali...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za masiku ndugu zangu, Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada kwa mtu anayejua fursa za kibiashara kati ya nchi ya Tanzania na Ufaransa, ni bidhaa zipi zinatoka sana hapa kwetu kwenda huko na ni bidhaa zipi zinaingia sana huku. Lakini vile vile kipi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi. Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani...
1 Reactions
0 Replies
807 Views
Hivi biashara za online ni kwa ajili ya wadada tu?. . Nauliza Hivi Kwa Sababu asilimia Kubwa Ya Wanaofaya Online Business ni Wadada. . Je Wanaume Hawaruhusiwi Kufanya Hii Biashara au ni Mindset ya...
3 Reactions
2 Replies
449 Views
Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wana Jamvi, Poleni na Majukumu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza mie ni kijana Me 27yrs nimwajiriwa lakini nimeweza kujichanga kutokana na Mshahara na marupupu mengine...
7 Reactions
89 Replies
21K Views
Back
Top Bottom