Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Because every business is different, Franklin BMS has a variety of POS options to help you take yours where you want it to go. Whether you run a restaurant, sell retail goods, book appointments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaji ni 25m, pesa ya kodi ya pango iko mbali. Zifuatazo ndio ideas: 1: Hardware ndogo 2: Duka la jumla (FMCG, dawa ya mswaki, tomato, etc) 3: Biashara ya mbao toka iringa Karubuni
2 Reactions
11 Replies
950 Views
Kama kichwa kinavyoeleza, Nahitaji msaada wa line yangu ya Vodacom Mpesa, line hii niliuziwa na mtu miaka mitatu sasa imepta, aliniuzia nikaendelea kuitumia baada ya yeye kufunga biashara ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AVERAGE COST Kama tunavyofahamu neno average ni wastani, na cost ni gharama. Hivyo Average cost ni kuchukua jumla ya gharama zote fixed na variable cost (total cost) alafu ugawe kwa idadi ya...
1 Reactions
0 Replies
905 Views
Habari za muda huu wana JF, hongereni kwa mapambano ya kila siku kuifanya dunia kuwa bora na salama. Mimi ni kijana wa kitanzania mkazi wa Dar es Salaam elimu yangu ni kidato cha sita. Awali...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Kitu kilichonileta na kushtuka kama mnakumbuka miaka ya nyuma china ilihodhi sana dola ya Kimarekani nchini mwao ambapo malipo mengi walikuwa wanataka dola na kufikia mzunguko wa dola ukawa upo...
3 Reactions
6 Replies
887 Views
Kwa siku za karibuni mtaani tumeshuhudia kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia pembejeo za kilimo (mbolea), sukari, mafuta ya kupikia, mafuta ya vyombo vya moto kwa maana ya dizeli na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hizi ndizo sababu kuu tatu za kuweka akiba Dharura. Tunaweka akiba kwa sababu tunajua kuna dharura itatokea na utahitajika kuwa na akiba, dharura sio kwamba hazijulikani hapana, usichojua ni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
"Hbr zenu ndugu zangu, naombeni wenye uzoefu au utafit juu ya mafuta alizeti ya rejareja hii biashara inakaaje,, Asante u" (UJUMBE TOKA KWA DADA CHOLETA) Wapendwa wenye taaarifa kuhusu hii...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa mawazo kwa aliyewahi kusafirisha nyanya kutoka Moshi, Iringa, Makambako, e.tc kuleta Dar es Salaam naomba anipe mwongozo wa chochote anachokijua kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga ambaye pia ni kiongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Huduma Jumuishi za Kifedha (AFI), ametunukiwa tuzo “Central Banker of the Year” ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Vigezo vya kuzingatia? 1. Makato nafuu 2. Huduma nzuri za kiofisi 3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k. Bank ya kwanza ambayo naomba usiitaje ni CRDB... Share your experience kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
MULTIPLIER EFFECT/ RIPPLE EFFECT Kwenye uchumi tunasema kwamba, ongezeko au punguzo la kiasi flani cha pesa huleta mabadiliko kwenye system nzima ya biashara. Waswahili husema pole pole ndio...
2 Reactions
3 Replies
970 Views
Habari wana jamvi Natafuta koboko au hata ngozi yake nchi 6 x9 na kuendelea kama unaye au unayo bei isizidi laki tano kwa koboko mzima au laki mbili kwa ngozi ndefu na safi...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo. Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu HERI YA MWAKA MPYA. Nimeelekezwa kuwa kuna tiles za china ambazo ni Grade1 ambazo ni nzuri na zinapatikana kwa bei nafuu maeneo ya Kariakoo. Hivyo naomba mwenye details juu ya hoja hii...
5 Reactions
124 Replies
71K Views
Habarini wapendwa, uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya wote ambao waliwahi kuwa na biashara na huenda zilifeli, hivi sasa wamebadilisha ama wanaendelea nazo zikiwa na mafanikio. Lengo ni kutoa funzo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini wana jukwaa. Natumaini mu wazima wa afya. Naomba msaada tafadhali kwa mlioko dar es salaam, aka MZIZIMA CITY na mnaOpitapita maeneo mbalimbali kama Kariakoo na Posta na Mlimani City...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunauza magari toka Japan
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom