Naweza kuanzisha biashara ya chips kwa mtajii wa laki tatu? Kama inawezekana ni kwa njia zipi? Na kama haiwezekani biashara gani inaweza kufaa kwa huo mtaji?
Msaada tafadhari!
Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa...
Kwenye maisha yako avoid sana kuto kuja kutia huruma kwa watu waliofanikiwa...
Siku zijazo ndani ya mwaka huu kuna watu watakuja kwa wale walioamua kuwekeza ndani ya Beastborne Ecosystem na...
Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake...
Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie...
Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza...
Salaam ndugu zangu. Nawatafuta jamaa wanaosafirisha bidhaa za shambani, hassan viazi mviringo kwenda nchini Comoros, kwa anayejua naomba anipe information zao.
Ninatanguliza shukran.
Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa...
kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo
1.ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti .
2.kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani.
3.kinafundisha jinsi...
Habari wadau!
Kama hutumii mbinu hii katika biashara bado wewe sio mfanya biashara bali mjaribu biashara.katika biashara hakuna kitu muhimu kama” BRANDING”,unapoamua kufanya biashara jambo la...
Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments.
Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
Wasalam mabibi na mababu,
Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana.
Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa...
Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na
“Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara”
Yaani…
Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma...
Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani?
Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ?
Hii Inawezekana Kama...
“AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini..
Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa...
Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida...
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha...