Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Ni ngumu kuelewa ninachomaanisha.Hebu ngoja nikupe mfano ndogo tu. Suppose kulimo cha mpunga kingekuwa kinalipa bila loss maana yake aliyeinvest eka 1 mwaka hii mwakani ataweza kulima let say eka...
3 Reactions
1 Replies
338 Views
Brand New iPhones Prices iPhone X 64GB 900,000/- and 256GB 950,000/- iPhone Xs Max 64GB 1,250,000/- & 256GB 1,350,000/- iPhone 11 64GB 1,450,000/- & 128GB 1,550,000/- Call 0768689694
0 Reactions
1 Replies
624 Views
kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa. Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi...
15 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo...
14 Reactions
93 Replies
41K Views
Jamani napenda kujua Interets Rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100. Bank ABC Equity Bank Finca microfinance DCB bank Nashukuru kwa kushare taarifa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, nipo kwenye process ya kufungua Company ila kwa sasa nina Business Name, na nataka kuhusika na masuala ya usafi sehemu mbali mbali, naitaji watu wa tatu wa kushirikiana nao. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Nilinunua subwoofer miaka 4 iliyopita lakini leo wakati naisafirisha Kwenda shambani nilikamatwa na askari ambao baada ya kuikagua pikipiki hawakupata kosa wakahamia kwenye boksi ambalo niliweka...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa sichoki kuzitafuta wala sikati tamaa fikiria tu nina miaka 20 tu nachakarika nasoma huku najishughulisha Nimekuja kwenu naomba mnijuze delivery unafanyiaje wateja wako? Mwenye...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Habarini ndugu zangu naomba kufahamu ni kiasi gani kampuni za simu zinaweza kulipa eneo la kujenga mnara kwa kijijini eneo la 30*30
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa tajwa hapo juu chajielezawenye mahitaji ya chumba kwa ajili ya watoto wao walio chaguliwa chuo TIA au diplomasia tuwasiliane zaidi 0764240743
1 Reactions
0 Replies
954 Views
Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa. Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu. Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Moja kwa moja kwenye mada wakuu, katika bajeti ya Mhe. Mwigulu Nchemba alipendekeza kuwepo na tozo katika kila miamala ya kifedha itakayokuwa...
9 Reactions
76 Replies
10K Views
Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka...
9 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wadau. Kwa mwenye idea na mikopo ya ujenzi wa nyumba za Biashara.. Naomba ushauri. Nina eneo ambalo tayari kuna nyumba 2 ambazo kwa sasa zipo kwenye hatua za mwisho niingize wapangaji...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom