Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nakusalimuni wakuu. Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam. Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani kwa aliko katavi au mwenye ndugu uko katavi mpanda mimi niko ukuu mkoani naskia biashara ya mtumba inalipa ukoo katavi sana kwa mwemye kukuwa kuhusu hili naomba anijulishe.. njo dm unijulishe
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu Leo nime ona ni Waletee wale ambao wana angaika na Biashara vyao rituel iyi ya White magic ili kuwasaidia Na wao pia wa endelee katika maisha Kuna Watu ambao wana amini kuwa mpaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimepambana ndani ya miaka 3 nimefanikiwa kupata milioni 6 Sasa nilikuwa naomba ushauri ni taasisi gani ya kibenki au yoyote ile ninayoweza kwenda kudeposit kiasi hicho cha fedha na baadaye kuvuna...
6 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa nauza korosho za kuokwa na mbichi kutoka mtwara 1kg 20000 1/2kg 10000 1/3kg 5000 Tupo Dar es salaam .kimara baruti Delivery ipo kila ijumaa kwa gharama ya 2000 tu,mkoani pia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo ni Tarehe 7 mwezi wa August, kesho ni tarehe 8 August, siku ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane, Tanzania licha ya uchumi wetu kutegemea kilimo, hatujawahi kuwa na Benki mahasusi ya...
2 Reactions
41 Replies
22K Views
BASHIR YAKUB, Wakili. 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi Naomba mnisaidie jambo moja kwa watu wenye uelewa na hili swala la mambo ya wakala wa huduma za kifedha katika mitandao ya simu na huduma za Kibank.Mimi nafanya huduma hizi jambo...
12 Reactions
137 Replies
21K Views
Mwenye uhitaji wa kufungua biashara ya uwakala wa Bima, Insurance Agent na umekwama sababu ya cheti cha bima. Nitafute nikupatie maana na kwangu hakina msaada.
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Naomba kuuliza ni lini applications za shughuli tajwa zitatangazwa.
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hii sijui watakanusha. Interbank Foreign Exchange Market (IFEM) Summaries Overnight Volume Traded and Rates in Percentage Date Amount Traded (Mn USD) Exchange Rate (TZS/USD) High Low Weighted...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji kufungua duka la bidhaa na kuuza kwa bei ya jumla, Je, naweza kupata wapi wanakouza bidhaa wanakonunua wengine?
2 Reactions
33 Replies
17K Views
Naomba kufahamishwa kwa wenyeji wa Dar es Salaam, mashine za kuchajia betri za magari zinauzwa kiasi gani? Zipo za aina tofauti kuna zinazoingizwa toka nje ya nchi na zinazotengenezwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers). Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara...
6 Reactions
14 Replies
7K Views
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana. Mimi katika maisha yangu Nina ndoto ya kufunguwa restaurant nyingi katika Bara la Africa iyo ni ndoto yangu But Kuna jambo ambalo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mtu mwenye uzoefu katika hili Ili atupatie ABC? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom