Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Ndugu wajumbe naomba kufahamishwa eneo yanakopatikana maligafi ya mpira kwa ajili ya kutumiwa kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya plastic
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Nimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii...
0 Reactions
30 Replies
22K Views
Wadau, natumai Weeknd inaenda vizuri, Nilikuwa na mpango wa kufungua Biashara ya kuuuza chipsi kuku (na Mungu akijaalia basi walau nyama choma mchana). Ila kwa kuangalia harakaharaka naona kama...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee...
0 Reactions
1 Replies
21K Views
Nimeona bidhaa nyingi zadukani zikinunuliwa kwa mtaji mkubwa return yake ikiwa na faida ndogo sawa na box la Big G la 1500 faida 500. Ona hi chumvi ya Neal, for wholesale inauzwa 10500 Hadi store...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni wazi kwa dunia ya Sasa Ni muhimu kujiongezea kipato hata Kama una kazi zako nyingine unafanya mida ya mchana ofisini ila Kuna nyakati nyingine za usiku mwili unagoma kabisa kulala unatamani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji Supplier wa uhakika wa samaki wabichi (Sato na Sangara) kutoka Mwanza kwa bei ya Jumla. Anaitajika awe Mwanza na aweze kituma mzigo Dar es salaam. Karibuni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini hamjambo wananzengo.Hii kitu inaniwazisha sana.Nitashangaa sana kama kuna mtu anafikiria kujenga hii nchi.Nani anajifunza kujenga madaraja,mabarabara& maghorofa au mpaka tuwaite...
2 Reactions
4 Replies
722 Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kijana wenu nimekuja hapa kuomba msaada wa kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuwa wakala wa soda za pepsi au cocacola pamoja na bia. Kwa yeyote ambaye yuko kwenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za leo, Naamini hapa JF kuna watu ambao tayari wameshawahi kununua bonds na wanaufaham wa jinsi ya kushinda minada ya hati fungani. Nimelenga kuwekeza kwenye bonds za muda mrefu (25...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Is there Illicit Money (fedha haramu)? I met a Chinese Project Engineer stationed in Tz, in our exchange, he wondered as to what is "Illicit Money" He has come across the jargon just here in...
0 Reactions
8 Replies
586 Views
Habari wadau, Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Iphone Xs Max Double line 256Gb Face ID [emoji777] True Tone [emoji736] Tsh 830,000/= 0784125895 Dar Es Salaam
1 Reactions
10 Replies
944 Views
Mapambano bado yanaendelea wakuu, ninajishughulisha na ufugaji wa kuku kwa kipindi kirefu sasa. Nimeamua sasa kufanya shughuli hii kitaalam ndipo nikachanganya madesa tofauti tofauti na kupata...
5 Reactions
39 Replies
18K Views
Kwanza kabisa, ninapenda kuihasa jamii kuhusu suala la kufanya kazi (kujishughulisha), ili iweze kuondokana na Uzembe na Umaskini. Pia Wazazi au walezi, wanapaswa kuwafunza vijana wao namna ya...
1 Reactions
2 Replies
742 Views
Habarini ndugu zangu! Kwa anayefahamu kuhusu hizi API za tigopesa , Mpesa , Je? Huwa ni za kulipia?na kama ni kulipia ni Tsh ngapi?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kupitia BOT nikaona kitu kinaitwa IFEM yaani interbank foreign exchange market, imenichanganya how it works kwamba ni mfumo unaodili globally au ndani ya nchi, nikaamua kuingia chimbo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom