Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Duka la vifaa vya michezo la Just Fit imemkabidhi vifaa vya vya mazoezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, kuunga mkono juhudi zake na Wizara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa.. Leo nimeona niwajuze vijana,wajasiriamali na watu wote wanaoishi Mbeya mjini na mikoa inayofanana hali ya hewa huwenda mazingira ya biashara inafanana au ukapata wazo hapa...
20 Reactions
49 Replies
13K Views
Ukitembelea maduka ya simu utakuta simu fulani inauzwa kwa sh. 199999 nyingine labda 149999 au 249999. Swali linalolitatiza mimi ni kwamba hizi hela zipo kweli au yaani ukishanunua hiyo shilingi...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau ninaomba ushauri wenu sana. Nina mtaji wa shilingi milioni mbili, nahitaji kufanya biashara ya kuuza mazao. Sasa naombeni ushauri wenu kuhusu hili swala nianzaje. Mim nipo Singida kikazi
0 Reactions
48 Replies
24K Views
Mimi ni mwanachuo naomba ushauri nahitaji kuanzisha biashara ndogo ya sh 150,000/= Naomba ushauri biashara gani inafaa kwa kiasi hiki cha hela. Pia soma: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi...
2 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wakuu. I trust you are good. Nipo hapa kama kawaida ku-share maarifa yatakayokuongezea VALUE kwenye life yako. Hasahasa namna yakuona opportunity na kuzitumia kwa faida. Kwa kuanza...
10 Reactions
53 Replies
7K Views
Hivi unawezaje kulifikia na kupata soko la nje ya nchi? Mfano nchi za Ulaya au Asia au hata ndani ya Africa. Kwa wenye experience na international trade naomba tusaidiane somo na mawazo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya leo wakuu, Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Asalaama wapendwa Mimi nafanya biashara ya nguo za kike na kiume. Niko na maduka matatu na nanunua jumla nauza rejareja. Biashara inalipa ila nina imani nikisafiri mwenyewe italipa zaidi maana...
0 Reactions
31 Replies
26K Views
Naweza kukosea kichwa cha habari mniwie radhi. Nina wazo la kuwarudisha wakazi wa mjini kwenye vyakula vya asili vilivyowapa bibi na babu nguvu na afya njema. Corona imekuwa alarm ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi nawasalimu nyote, nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara, kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari wakuu! Nilinunua parcel (simu) kupitia AliExpress online shopping, taratibu za malipo ziliikamilika vema na mzigo wangu ukasafirishwa na AliExpress standard shipping, ukafika destination...
0 Reactions
59 Replies
30K Views
Waimbaji wa muziki wa dini na kijamii wanasumbua sana WhatsApp inbox. Kila kukicha unakuta naomba subscribe kwenye channel yangu, au uangalie hii video yangu KUUNGA Mkono huduma yangu. Nadhani...
3 Reactions
2 Replies
932 Views
Habari wanajukwaa!? Kuna sehemu nilifanikiwa kupita katika harakati zangu za usaka tonge, hiyo sehemu niliona hawana Photo Studio. Hii imenifanya nifikirie kufungua Photo Studio (ya kawaida)...
3 Reactions
17 Replies
9K Views
Maisha ni magumu usikate tamaa hata siku moja pambana ondoa uoga hii ya paul mashauri imeninspire sana
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa Wafanyabiashara waliopo Mbeya naomba kujua location ambayo wanauza Maroba na vifungashio vya jumla ili namimi nikauze kwa bei za jumla na rejareja.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninaomba kufahamu utaratibu wa kukabidhiana pikipiki kwa mkataba. Nimenunua kapikipiki sasa nahitaji kumkabidhi bodaboda ni utaratibu upi wa kufuatwa lengo likiwa baada ya kurejesha kwa Muda...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari wakuu, Hili ni swali tu kama maswali mengine, lichukulie kama swali la kuchangamsha ubongo. "Je, utafanya nini ili uingize angalau Tsh elfu mbili kwa siku?" Mimi nitatafuta Tsh Elfu 25...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Hili soko linapatikana Dar es Salaam wilaya Ilala kata ya Mchikichini mkabala na kiwanda cha bia TBL pembezoni mwa barabara ya Uhuru, ukifika tu hata kama upo upande wa TFF unajiandaa kuvuka...
29 Reactions
61 Replies
11K Views
Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha; Taasisi Binafsi (Private...
3 Reactions
0 Replies
742 Views
Back
Top Bottom