Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Chonde chonde CRDB msitufanyie hivyo. Mnatuaibisha tulishaanza kunywa bia toka jana sasa leo kuondoa salary advance ndio nini? Fanyeni mambo basi tunawaaminia.
9 Reactions
47 Replies
9K Views
Wadau habari ya majukumu nimeamua kuanza kufanya biashara ya nafaka zao la choroko, nimeingia bush huku nakusanya mzigo kwa anayejua soko la uhakika lilipo la zao hili tupeane taarifa na soko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nenda zako ukalime mashamba ya mpunga, uwele, mtama na mengineyo! Lakini biashara hutufai kabisa! Waachie shughuri hiyo wafanyabiashara wenyewe. Ni muda mrefu nimekuwa nanunua kutoka katika duka...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Majuma machache yaliyopita nilipost thread nikisema nahitaji mbia atakayeweka fedha Mimi Nina mashine na customer base tufanye biashara. Kama kawaida jamiiforum haikosi...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming. Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk...
41 Reactions
143 Replies
17K Views
Habari zenu Naomba mwenye kujua ni utaratibu gani ninatakiwa kuufuta ninapotaka kupata kibali cha muda cha kuingiza bidhaa ya kuuza toka nchi jirani ?Tafadhari naomba kusaidiwa ili nipate...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Salaam! Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi. Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali. Kwa anayefahamu habari ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wakuu,... Nina malengo ya kuchukua pikipiki ya mkataba kwa kuwa kwa sasa sina ela cash ya kununua moja kwa moja. Hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu ni aina gani ya kampuni pikipiki...
3 Reactions
1 Replies
778 Views
Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu salaam, Mwaka 2013 kulianzishwa uzi humu ukiwa unazungumzia kuwa mtu anajenga nyumba kwa ajili ya kupangisha hawezi kupata faida, great thinkers Wengi walitoa maoni na mitazamo yao...
5 Reactions
98 Replies
13K Views
Ndugu zangu Naomba kufahamu ni wapi au ni bank gani nitaweza kuichange pesa hii ya kimarekani ambayo ni 50$ (Dolar 50)ya 2004 Nilikataliwa kuichange leo pale dtb bank magomeni nilikua naomba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Kwa sisi wenye ndoto za kujiajiri kila kukicha tunafikilia nini cha kufanya ili kujikwamua. Unatakiwa uwe na kiasi cha shillingi ngapi ili kuchukua bidhaa either nguo au viatu au mikoba...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Msaada jaman nahtaji kufanya biashara ya kufyatua tofarii japo nataka kuanza kununua vifaaa hvyo kimoja kimoja,,mfano vibrator mixer ya mchanga naweza kupata wapi? Kwa Bei ganii? Ina uimara ganii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina fikiria kuwa na online bookshop, yaani kuuza digital documents za vitabu mbalimbali vya sekondari. Naomba mawazo yenu na nini cha kufanya Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Bofya hapa kuingia YouTube Pia kama unaweza kujiunga moja kwa moja kwenye majadiliano bofya hapa chini kujiunga na ZOOM Join our Cloud HD Video Meeting
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Inakuwaje wanajamvi! Hamna haja ya kuchimba tena madini yetu bora yabakie tu ardhini. Inasikitisha sana hayana hata msaada kwetu. Yani yanatuletea tu asilimia 4% kwenye uchumi wetu...
1 Reactions
2 Replies
593 Views
Upatikanaji wa kazi kwa sasa umekua ni mgumu kila sehemu watu wanaangaika kutafuta ajira ili wapate kipato na kujiinua kiuchumi ili maisha yaende ,wasomi kwa sasa wamekua wengi kira kona kuna vyuo...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari! Shida kuu nina frem ya biashara ipo wazi na eneo la biashara ni sana! Kwa wale mnaojua biashara zilizopo maeneo ya stendi mtakuwa mmenielewa. Shida kuu niliyo nayo hali imekuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau wa jamiforums Nimekuja kuwakumbusha vunja Bei kuwa Biashara ya mtu mweusi huwa inakufa haraka kwa vitu vikubwa vitatu tu hata Kama imeshafanikiwa kiasi gani 1) Uongo kwenye Biashara...
7 Reactions
42 Replies
12K Views
Back
Top Bottom