Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini za mchana wanaJF! Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa soko la uhakika la ruby Tanzania.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Clinical officer ni daktari mwenye elimu ngazi ya diploma. Nina maswali nataka kujua kuhusu clinical officer 1) Je anaweza kufungua duka la madawa (Pharmacy) au mpaka awe na cheti cha mfamasia...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Habarini wanajukwaa, natafuta dry ice kwa ajili ya kuhifadhia lambalamba zangu kuna mahali nimealikwa nikauze. Nina frezer lakini ni kubwa haliwezi kuingia kwenye usafiri wangu na kukodisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa habarini za wikiendi. Nina viatu vya mpira wa miguu ila vimeharibika sole, nimejaribu kutafuta sole kwa ajili ya kufanya replacement bila mafanikio. Nimetafuta online shopping...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba msaada wapi ntapata balo la nguo za watoto na je biashara hii changamoto zake ni zipi? Na niwe na mtaji kuanzia ngapi.. Natanguliza shukrani NB: Nina msingi kama 150,000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi Naomba tumsaidie huyu graduate kuhusu njia anazo weza kutumia kupata mtaji wa kuendesha line zake za UWAKALA m pesa, tigopesa na airtel money. Naomba usipite bila kusema kitu cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za uzima wa JF kwa anae elewa taratibu za kufungua Tuition/school ya kufundisha forex hapa TZ naomba anielekeze please. Sitaki povu nataka taratibu kama haujuwi pta kushoto
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Watu wengi sana wamekuwa na wana hamasa ya Kujiajiri na hii ni kutokana na sababu mbali mbali za Ikiwemo Mabadilija ya kichumi, Watu kutaka kuongeza vipato vyao na pia Ukosefu wa Ajira. Kuanzia...
11 Reactions
31 Replies
5K Views
Naomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
1 Reactions
25 Replies
3K Views
1. DSE have to publish graphic monthly performance, yearly performance and even 5 years performance (Presidential years performance) with elaboration in a Government Gazette or TV , This is very...
1 Reactions
2 Replies
994 Views
Habari wakuu, kutokana na hali ya biashara kuwa ngumu imetulazimu baadhi ya wafanyabiashara kufanya biashara zaidi ya moja kwenye jengo moja ili kuongeza kipato na kupunguza gharama za uendeshaji...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Sijui kama niko sawa ninachokiona kwenye soko la hisa la Dar es salaam kwamba tangia mwaka 2015 soko hili limeenda likishukaa taratibu nikimaanisha bei za share za makumpuni karibia yote. Yaani...
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Wadau Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo; 1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo 2. Awe na...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta...
9 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari wadau.. Naombeni msaada wa ushauri.. Nimepata mgao wa urithi kama milion 30 hivi.... sitaki kuzitumia now na nipo chuo bado nasoma. Nafikiria kuziwekeza kwenye non risk investment...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Hellow. Mambo vipi wanaJf. Leo nimekuja Tena. Nimepata wazo la kufanya biashara ya pikipiki used kutoka Dar kwenda mkoani. Naombeni kupata changamoto, faida na namna nitakavyopata hizo pikipiki...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wapendwa Mtu ukiwa na mtaji unaotosha kununua pikipiki ili uwe unapata kamisheni ya kila siku na kuwekeza kwenye saloon uwe unapata kamisheni ya kila siku. Je upande ipi una faida na risk ndogo au...
0 Reactions
5 Replies
868 Views
Msaada jamani nahitaj kuagiza Kifaa flan hv kidogo kutoka China ila kuna mtu alinambia lazima niwe na S.L.P yangu ili mzigo wangu ufike hapo. Sasa mimi sina hiyo S.L.P na nahitaj kuagiza. Je...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini Wana jamii forum Mimi ni mkazi wa dodoma maeneo ya Airport chako ni chako,natafuta kazi yoyote ile ya halali nipo tayari kufanya.
0 Reactions
6 Replies
749 Views
Back
Top Bottom