Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Inakuaje wana JF Bila kupoteza muda ningependa kujua machimbo ya hivyo viatu kwa bei ya jumla yapo wapi? Na ni shi ngapi? Yaani ni kwa biashara sio matumizi binafsi Any help i will appreciate...
0 Reactions
5 Replies
37K Views
Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote. Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya...
1 Reactions
0 Replies
692 Views
Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa...
8 Reactions
87 Replies
20K Views
Tabia hizi ukiziruhusu kwenye biashara yako utaendelea kufanya biashara ya ya kipato cha mkono kwa mdomo tu, hutakaa ukue na kufanya biashara kubwa 1. Kuruhusu watu wasiohusikia na biashara yako...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nimekuwa nikipitia tovuti ya TRA na hasa ile sehemu ambayo unawezakukokotoa kiasi cha ushuru (Tax) utakachopaswa kulipia kama ukiagizia gari toka nje ya nchi (Japan kwa mfano), nimeshangaa...
12 Reactions
250 Replies
40K Views
Habari Tanzania natumai mu wazima lengo la uzi huu ni kubadilishana mawazo yatakaosaidia watu wengi na kusongeza uchumi wa mmoja mmoja wetu. Nikirejea post moja wapo ya member mwenzetu alitoa...
6 Reactions
10 Replies
6K Views
MAKALA HII IMEANDIKWA NA MESHACK MAGANGA WA IRINGA TANZANIA. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa hamasa kwa vijana wenzangu wa kike na kiume na watu wa kada mbalimbali, wito wangu umekuwa nikuwataka...
24 Reactions
54 Replies
27K Views
Wakuu Habari za muda huu. Naomba kujuzwa je biashara mfano wa fundi pikipiki(wale wa mtaani),mamalishe,fundi kuchomolea na wengineo wanatakiwa kuwa na leseni? Na ni kiasi gani? Vipi kama mtu ana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua chimbo zuri la Simu, Laptop na TV za bei za kupoint na imara huku Zanzibar. Naomba ushirikiano wenu wana JF.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Na kama inawezekana naomba maelezo zaidi maana nimefuatilia nimepata maarifa kiasi, nahitaji kujua zaid please?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu WanaJF, Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la...
4 Reactions
0 Replies
600 Views
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Muda mfupi uliopita nimechukua form za kuomba kuwa wakala wa CRDB huduma. Tayari ninafanya uwakala wa tigo, airtel na M-pesa. Nilikuwa anaomba mwenye uzoefu wa Uwakala wa fahari huduma anijuze...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis. Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Humu, Kwasasa Tunatafuta mwekezaji mwenye uwezo wa kuwekeza 20M kwenye Biashara yetu ya usafirishaji wa Mizigo kwa Njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania. Tunategemea kusafirisha...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!!! MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!! Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka...
1 Reactions
0 Replies
890 Views
Napata shida kujua ni gharama kiasi gani nitatozwa, kwa kila ninae muuliza ananipa majibu ya kunivunja moyo. Wengi wao wanadai nikiagiza kutoka nje yaani amazon au ebay gharama za tozo nchini...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Back
Top Bottom