Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini, Nilikuwa nahitaji mwenye ujuzi, uzoefu wa kutuma mizigo worldwide aniambie ni wapi naweza kutuma mzigo wangu kwenda Mombasa Kenya kwa uhakika zaidi na gharama nafuu, ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nataka nichokoze mjadala mdogo sana ambao wengi wanaweza kufikiri kuwa ni mkubwa.Nataka kwa pamoja tushirikiane katika kutafuta jibu la swali hili "Biashara ni nini?" Nianze kwa kutoa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni muda sasa wa Tanzania kubuni na kuuza bidhaa za ki electronic kama ilivyo China na mataifa mengine ya ulaya na kuweza kuwauzia wao kama wanavyotuuzia sisi. Tuna vijana wenye akili sana na...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Jamani kwa wale wazoefu mtaji unahitajika kuanzia shilingi ngapi naweza kufanya?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari kwa mwenye uelewa wa biashara ya viungo vya chai na chakula nahitaji mtaalamu aliepo moshi mjini mini nina mtaji wa pesa ila nahitaji mtaalamu anaejua kutengeneza viungo mbalimbali ili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wahenga walisema mbuzi wa masikini hazai hata akizaa anazaa dume, ni msemo wa muda mrefu ila naamini unaishi, Mwaka 2016 nilifanikiwa kumaliza kidato cha 6 ila matokeo yalivyotoka sikufanikiwa...
16 Reactions
85 Replies
11K Views
Mashine ya kutengeneza mkaa inauzwa Wakuu Nina best yangu ana kama ml 15 hivi nataka kumshauri ananunue mashine kubwa ya kutengeneza mkuu kwa kutumia takataka Nataka kumshauri anunue 1. Krikuu...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Samahani mwenye kujua Taratibu za kutuma mzigo nje ya nchi kama vile NEW ZEALAND sababu nimeenda posta gharama zao ziko juu kama kuna njia nyingine mnijulishe
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa. Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari; Katika mambo ambayo mwanadamu yeyote haweza kupinga ni ukweli kwamba duniani inabadilika.Ni ukweli usiopingika kwamba kasi ya mabadiliko iliyopo ni muhimu sana tukajiandaa kuwa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri...
9 Reactions
85 Replies
10K Views
Wana JF kwa mwenye experience ya biashara ya matunda mchanganyiko na inahitaji mtaji kiasi gani naomba aniambie
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari ya leo wakuu, Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata...
11 Reactions
29 Replies
6K Views
Leo naleta mjadala tata.Mjadala ambao watu wengi ama watauelewa au watachanganyikiwa.Mjadala huu unahusu uwezekano(Probability) ya Mtu kuwa Bilionea.Nimeonelea niweke hili neno Probability ili...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Hello guys, Kwa wiki 4 sasa huyu dereva hajaniletea hesabu ingawa kipindi cha mwanzo alikuwa ananileteaga, kila wiki anakuja na sababu mara kauguliwa na mtoto, Mara mvua, Mara pikipiki...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
Salute wakuu Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani. Natangulixa Shukurani 🙏🙏
2 Reactions
32 Replies
23K Views
Wakati Serikali na vyombo vya dola vikiendelea kuchunguza uhalali wa uwepo wa kampuni ya biashara za mtandao ya Q-NET inayodaiwa kuwatapeli wananchi mamilioni ya fedha,ofisi za kampuni hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom