Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda .
Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi...
Iko hivi siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni, basi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao. Cha kushangaza...
Kwa wanunuzi wa choroko, kama unataka kununua, huu ndio msimu wa kununua.
Kwa wenye mitaji unakaribshwa, choroko ni nyingi sana. Bei wanunuzi wameanza na elfu moja kwa kilo.
Njoo unishirikishe...
Habari za Kazi ndugu wadau..?
Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..
Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia...
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio.
Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu...
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya,
Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini.
Moja ktk harakati za...
Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Muongozo wadau ni naitaj kufungua restaurant ndogo ya kawaida,mtaj kima cha chin ni 700,000.location dar msaada wa mawazo wadau mim ni kijana wa chuo,UDSM.Asanten.
๐จ๐ด๐ผ๐บ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฐ๐ผ๐ฐ๐ฎ ๐ฐ๐ผ๐น๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฃ๐ฒ๐ฝ๐๐ถ
Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi.
Shida ilianza pale Coca...
Salaam,
Kila mtumishi aliyeajiriwa, akumbuke itafikia wakati atalazimika kustaafu kazi. Kustaafu huku inaweza kuwa ni kwa hiari ama kulazimishwa kutokana na Umri (Miaka 60 ama 65 kwa Wakufunzi wa...
Wakuu Habari.
Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo...
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na...
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda...
Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa...
Habari zenu Wana JF,
Awali ya yote ningependa kumshukuru mwezi mungu kwa kutujalia uzima na afya njema kwa niaba ya wana JF wote
Andiko langu ni kutaka msaada kwa waliotangulia katika tasnia ya...
โฆkabla Sijakwambia ni Kosa gani Naomba kwanza Nikuulize hili Swali hapa Chini...
.
โJe ni Kweli Ungependa kujua Kosa Lako MOJA Kubwa Unalofanya Kila siku kwenye Maisha yako?..โ
.
Kama Jibu Lako...
Habari zenu wakuu ๐๐ฝ ๐๐ฝ
Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa...
PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI.
Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao...
Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama
Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe...