Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ninaandaa mpango wangu WA BIASHARA Kisha naanza kuifanya baada ya kuona Sina kiwango Cha kutosha Natangaza watu wanao WEZA kudhamini BIASHARA yangu Kwa makubaliano ya kugawana faida Kwa hiyo...
5 Reactions
11 Replies
742 Views
Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari Ndugu zangu Wana JF nataka kupitia thread hii itukomboe wakulima juu ya MASOKO.kwaiyoo yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje ya hapa ata taja soko na BIDHAA inayouzika au inayouzwa...
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama. Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya...
6 Reactions
11 Replies
830 Views
Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto...
1 Reactions
11 Replies
827 Views
Habarini wana JF, Kama ada ya Watanzania wengi, nina wazo la kuuza internet kwa watu. Muda mrefu nimekuwa nikifanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii nimegundua biashara hii inaweza ikafanywa...
6 Reactions
86 Replies
12K Views
Jaribu kupiga mahesabu:- Unatakiwa uuze viberiti vingapi ili upate milioni moja kama faida? Unatakiwa uuze pipi tofi n.k ngapi ili upate milioni moja kama faida? Unatakiwa uuze pakti ngapi za...
9 Reactions
11 Replies
418 Views
Nimewaza sana hili jambo Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo Unakuta frame kubwa kalii hatareee Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE V8 JE HAWA...
2 Reactions
12 Replies
666 Views
Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza. Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu...
6 Reactions
13 Replies
614 Views
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa atujuze hapa
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Naomba kujua router ya kampuni gan na aina gani ni nzur kwaajili ya biashara?
0 Reactions
18 Replies
801 Views
Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
6 Reactions
13 Replies
854 Views
Nimeifikiria sana hii biashara ya kuchonga funguo za milango ya nyumba,vitasa na funguo za magari nikaona kuwa naweza kuifanya nikaongeza kipato hasa ukizingitia mahali nilipo huduma hii haipo...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa, nimekuwa naona jinsi watu wanavyohangaika kutafuta mawe ya kujengea misingi ya nyumba, viwanda masoko, mitaro n.k. Kwenye baadhi ya miji, upatikanaji wa mawe ni wa shida...
2 Reactions
16 Replies
9K Views
SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale...
3 Reactions
5 Replies
500 Views
Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying...
20 Reactions
150 Replies
5K Views
Wana JF Jana nilitoka Dar to Znz na leo natoka Znz kuja Dar nikitumia boat za Azam Boat ziko excellent, lakini departure lounge haziko sawa. both Dar na Zanzibar hakuna utaratibu mzuri Kwa mfano...
6 Reactions
4 Replies
282 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana umri miaka 23 nimehitimu chuo mwaka huu .lakini kutokana na changamoto za ajira vijana wengi tumekuwa tukitafuta njia tofauti tofauti za...
97 Reactions
494 Replies
87K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…