Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina,
Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability
Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5%...
Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi...
Wana jamvi habarini za mchana, Naomba kujua mwenye uzoefu juu ya kuhifadhi Viazi mbatata "Viazi mviringo" vilivyo menywa na kukatwa kwa ajili ya chipsi ili visibadilike rangi au kuharibika kwa halaka.
Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili...
Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma...
Karibu Day Dreamer Tz Consultancy, watatuzi wa changamoto zako kwenye:
1. Usajili wa Jina la Biashara Brela
- Tunakusaidia kusajili jina la biashara lako kupitia BRELA (Business Registrations...
1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo.
a. Picha 3 za passport
b. Copy ya TIN certificate
c. Copy ya kitambulisho...
Habarini WanaJF,
Nina mtaji wa laki moja na elfu hamsini nataka niagize bidhaa KUTOKA CHINA. Je, ni bidhaa gani nikiagiza itanipa at least faida ya nusu ya mtaji wangu?
Napokea ushauri wenu...
PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)?
a) Kipi Bora kuangalia...
Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa...
“One thing very good traders have is insight into themselves.” - Chris Tate
FUN AND GAMES
Recently Louise Bedford and I have been doing the Short Term Trading Magic seminars in a few places...
Hellow ....
Wapendwa,
Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business......
Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya?
Mnatumia njia gani kupata wateja wa...
Habarini Jamani,
Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko.
Please kama unawiwa urafiki wa faida wa kufundishana na kuelekezana kuhusu uwekezaji kwene mifuko na bondi kama UTT jitokeze.
Ingependeza uwe unajua viytu kuliko nijuavyo mm. mi ndo naanza...