Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nini maana ya makadirio? Na nini maana ya kumwambia Mteja aende akakadiriwe wakati hata akijitetea vipi kodi iko palepale, tena kauli inayotumika Eti hiyo imeisha tunaomba uachie wengine nafasi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wakuu Watanzania wanaendelea kubuni fursa za kiviwanda baada ya mtanzania mwenzetu Blasto Makundi(BM) kumiliki kiwanda Cha kuunganisha mabasi katika eneo la Kibaha mkoani Pwani Kiwanda...
16 Reactions
67 Replies
15K Views
The economy of the world and the way money is valued, is one of the biggest scams of the universe. Money and wealth are naturally backed by mineral resources, land, and basically physical...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Napenda niwapongeze AirTanzania kwa website mpya walau inayo kidhi mahitaji ya wateja na hata mwonekano mmepatia. Kitengo cha ICT kinaonekana kimepata mtu makini kwa kuwa wasikivu. Mkiwekeza...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Kama kijana (mid 20's) ambaye kwa muda mrefu nimekuwa na ndoto ya kufanya biashara na ujasiriamali hivi karibuni nimeamua na kuanza kuchukua hatua ili kutimiza ndoto zangu za...
25 Reactions
54 Replies
8K Views
Nimeishi Dar es salaam toka nazaliwa nilichoona kuishi Dar bila mtaji wa maana ngumu. Mikoani huko sinaga ndugu wala connection yoyote Origin yangu ni Dar ila sasa nataka nijilipue mikoa mingine...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo nataka tujadili juu ya uelewa wa watu kuhusu namna Mshauri mwelekezi katika masuala ya biashara anavyofanya, au jinsi huduma hii inavyotolewa.Katika kuchokoza mada nisisitize kwamba Business...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kufahamu gharama za kufungua YouTube channel kwa sasa, maaana nimeshuhudia kwenye media baadhi ya watu wakiburuzwa mahakamani kwa kutokua na vibali vya kuchapisha maudhui YouTube hapa tz...
2 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari zenu wadau. Naombeni mwenye uzoefu anisaidie kujua ni wapi naweza kupata vitu vya Stationery kwa bei nafuu sana, mfano pen, karatasi, mafaili n.k Natanguliza shukrani
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu salama, Mimi si mtaalam sana ni maswala ya habari na vyombo vingi vya habari natambua ni huru inapokuja kwenye maswala ya nini kirushe au kiandike (kama tu hakivunji sheria) kipo huru ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mida hii! Naomba kufahamu jinsi ya kuendesha biashara maana nimefanya usajili wa biashara ya usafi, nahitaj kufahamu jinsi ya kujikuza na kukua kibiashara. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Najua humu ni jukwaa kubwa la biashara ambapo kama wadau tunaweza kusaidiana ili kuweza kwenda mbele zaidi kimaendeleo. Mimi mtaji wangu ni kama milioni moja eneo ni sehemu ya wachimbaji wadogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Hebu leo tuacheni vibiashara vidogo vidogo tuje kwenye makampuni, sasa tujadiliane katika kampuni ulizowahi kufanya nao kazi. Je, ni kampuni ipi unayoona na rahisi kuanzisha na...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Mimi ni mkazi wa Kigoma. Natamani sana kupata ushauri wa ki-biashara na uchumi katika eneo nilipo. Wadau nisaidieni kama wapo maeneo ya Kigoma niwapateje? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari JF, Kuna watu hapa kijiweni wamenizunguka, mimi nilikuwa nawaambia kwamba uchumi wa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Marekani wananibishia. Ebu tuwekane sawa wale wabobezi wa maswala ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, habari za mchana. Natumaini wazima. Hivi vipi kuhusu hii Biashara ya mihogo kwa hapa Dar, nikichukua shamba maana naona wakina mama wanaipenda kununua kwa ajili ya kukaanga. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habàri wakuu.. Nahitaji kufahamu je ni sahihi kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine usiemfahamu? Madhara yake ni yapi: Na je nikifanya hivyo naweza kujiingiza kwenye matatizo...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…