Jamani naomba msaada wa kujua online traderrs kama Alibaba, Kikuu na zinginezo, je kuna mtu ameshawahi fanya kununua bidhaa yoyote na je ni kweli zinafanya kazi kwa uaminifu maana kuna kitu...
Nimekuwa mfatiliaji sana , wa mafunzo ya ujasiriamali. Watu wengi wanajiunga wanasoma na kuhitimu wanapokuja kwenye uhalisia wa kuingia kazini sehemu kubwa wanafeli.
Wanaanza vizuri wiki mbili...
Ili treni yetu ya kutoka dar kwenda Moshi iwe na tija, nashauri ikarabatiwe angalao ifikie kiwango cha kutembea masaa 10 tu. Tofauti na hapo watu wataachana na usafiri huo mapema sana. Angalao...
Mwaka 2020 ndo huu hapa.
Achana na ya 2019. Umepiga hatua kubwa sana mpaka kufikia siku ya leo ukiwa mwenye siha njema. Kama umefanikiwa kuuona mwaka mpya basi ujue kwamba ulifanikiwa kula...
Habari za wakati huu;
Leo natoka nizungumzie hofu na nafasi yake katika mafanikio.Sitaki kueleza maana ya mafanikio ingawa najua kabisa kwa wengi wetu kuna picha zinakuja kwenye akili zetu ambazo...
Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya...
Tanzania recently established the Nyerere National Park, the largest national park in Africa.
Nyerere is part of what is known as the Selous Game Reserve and covers an area of over 11,000 square...
Je, ninapouza bidhaa kwa mfano simu au laptpop, nitatoa risiti ambayo atapewa mteja, je mteja bei ninayomtajia mteja niunganishe na VAT humohumo au wadau mnafanyaje?
habar
Hii ni ya kweli nitaondoa baadhi ya vitu ili iwe fupi kidogo
Mwaka 2005 niliajiliwa kampuni X kama kibarua mwaka 2007 niacha kazi kampuni X na kuenda kampuni N
Hii yote nikutafuta...
Habari wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa Kikuu Tanzania. Ni application ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe, lakini kinachonishangaza ni kwamba...
Habari za humu wakuu, naomba msaada kujua ni wapi naweza kwenda kubadili fedha (dola) za zamani, yaani za miaka ya 90.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa wakala wa M-Pesa, Tigopesa nk kwa zaidi ya miaka 5. Tatizo ni kuwa till yangu ya M-Pesa inatumia jina la mtu mwingine na hii umekuwa ikiniingizia zaidi ya laki nne kila mwezi.
Tatizo ni...
Wanajamvi shikamon wote kwa moyo mkunjufu.
Naomba kwenda kwenye swali langu kama ambavyo kwenye heading linajieleza, naomba kuuliza anaejuwa taratibu za BRELA baada mtu kumaliza kazi yote ya...
Jamani hivi wanaoleta mizigo kutoka China wanauza kwa mfumo gani? Jumla, rejareja au vipi?
Na je kama jumla masoko wanapataje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeaminiwa na kukabidhiwa kitengo cha fedha, nguzo kuu ya kuthibitisha proffesionalism ni kuandaa ripoti ya fedha kwa wakati.
Muda wowote Line Manager wako anapotaka kujua status ya...
Habari ndungu zangu,
Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa?
Naombeni msaada wenu jamaa
Sent using...