Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Ninachojua kwa hakika sitakufa maskini. Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao. Even if odds are not in my side, at least niwe na...
15 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wataalamu. Nina miaka kama 10 nimekuwa nazunguka migodini kuchimba madini ya dhahabu bila mafanikio. Nimepoteza kiasi cha sh.M.6.5 katika Maeneo ya Musoma Bhuhemba, Nyarugusu Stamico...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
habari wakuu! ninapozungmzia mtandaoni na maanisha search engines kama vile Google,Bing,yahoo,Ask,Websiteas,Blogs na mitandao ya kijamii kama vile Facebook,Twitter n.k. je hivi kuna umuhimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeunganishwa huku https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1670425/ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Wakuu Malila, Chasha, Kubota, CONSULT, Mrimi, Franky, mito, Nyenyere, Mvaa Tai, MILLIONS MOVEMENT naomba ambaye ameanza kufuga hawa ndege atushirikishe maendeleo na matokeo...
1 Reactions
57 Replies
19K Views
Nauza sungura wakisasa newzealand white,chinchilla na dutch mmoja 30000 nipo Mbezi Makabe Dar es salaam Wapo wengi wanafaa kwa ajili ya nyama na ufugaji Kwa mawasiliano 0753534514
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Kama una simu na uko Dodoma naomba niuzie nimekwama kabisa. Masharti, uwe tayari kwenda kuandikisha polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa au kwa mwanasheria kuwa tumeuziana simu. Tecno Air, Tecno...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi...
3 Reactions
139 Replies
18K Views
Habari wakuu naomba msaada wa kufahamu makampuni yanayohusika na usafirishaji wa bidhaa kutoka huko ughaibuni kama china yanatumika na haya makampuni kama kikuu hadi bidhaa inamfikia mteja kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasikitisha sana wadau lakini ndio katika kupambana na maisha si lelemama. Ni hivi baada ya kelele za muda mrefu za maboss wetu wenye asili ya Asia. Nimejipanga 2020 niachane nayo na nitafute...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Ameandika MASANJA MKANDAMIZAJI AKILI YAKO UTAJIRI WAKO: Lakini , Laki Tano hii ina uwezo wa kukodi shamba Ekari 13 pale Kiteto au Mpwapwa na ikakutengenezea Million 15 baada ya Miezi MITATU kwa...
15 Reactions
77 Replies
11K Views
Habari waungwana!! Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya juu. Kutokana na changamoto za ajira niliamua kujiajiri kwa kufungua biashara Mpesa (Tigo, Airtel nk) kwa kutumia kiasi kidogo cha pesa...
22 Reactions
139 Replies
11K Views
Habari wana Jf, nina mpenz wangu ambaye hana shughuli yoyote ya kumpatia kipato na kawa tegemezi sana sasa nina taka kumfungulia biashara ya kuuza pochi za kike za mtumba, tatizo sina connection...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Niliamua kufa ili niishi! Nimekutana na vijana wengi na kugundua kuwa wengi hawajamaanisha. Umewahi kudhamiria kitu kwa kumaanisha na kujitoa bila kuogopa chochote wala yeyote? Watu tuliokulia...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari Wakuu! Wakuu naomba kufahamu kwa undani biashara hii tukianzia na mtaji wake ambapo ni kununua chombo cha usafiri, uendeshwaji wake, faida zake, changamoto zilizopo! Nina imani humu ndani...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Jamani hodi! Wanajamvi sote tunafahamu hali ya uchumi ilivyo. Nisaidieni mawazo nimetapeliwa, ilikuwa hivi: Kuna dogo tuliongea biashara ya dagaa, akaniambia dagaa wanalipa ila mtaji tu ndio...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
[emoji457]Mambo ma 5 kwanini watu hawa nunui 1. Hawana uhitaji wa unacho uza. Kama mtu hana huitaji wa unacho uza hawezi kununua. [emoji419]Kama mjasiririamali unahitajika kumfanya mtu awe na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama mnavyojua nchi zetu masikini vitu vingi tunaagiza nje, ukiangalia pesa tunazowapa Dubai, China, Japan etc kwa ajili ya kununua bidhaa zao ni nyingi sana kuanzia magari, electronics na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba ushauri nataka kujua vitu gan vinahitajika kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusindika maziwa na product zake zingine na mtaji ni sh ngapi inabid nitafute maana nataka nianze na iyo ila plan...
1 Reactions
26 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…