Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk
Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako...
Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na...
Habari za leo wakuu,
Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu...
Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza protein powder suppliments kama Mass gainer, amino core etc naomba kujua wapi nitapata hizi suppliments kwa bei nafuu kwa ajili ya kuuza?
Anayejua hili...
Wanabodi.. Heshima mbele!
Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo...
Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya...
Kwanza kabisa nakubaliana kuwa maisha hayana kanuni kwenye kuyaishi. Kila mmoja ana njia zake za kujipatia kipato ili mradi ni halali. Pia kila mmoja ana tafsiri yake ya utajiri na umaskini. Kwa...
Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua
Mwanzo nilikuwa nikipata changamoto hii kwenye...
Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa
Je, unayo bidhaa nzuri au mtandao wa bidhaa ambao ungependa kufikisha kwenye masoko ya kimataifa lakini unakosa wateja wa...
Habari Wana JF
Naomba msaada wa mawasiliano au connection sehemu wanapouza nywele za rasta kwa bei ya jumla.Kuna baadhi ya nywele hizo za kusukia za rasta kama kampuni ya darling , prima na...
Benki ya CRDB Yafanya Mapinduzi Makubwa Sekta ya Fedha Nchini.
SIMU.TV: Benki ya CRDB nchini Tanzania, yajivunia kutokana na mapinduzi waliyoyafanya katika sekta ya fedha kwa kuwafikia watanzania...
Mojawapo ya dhana ya msingi katika biashara hususani upande wa masoko ni kwamba; bidhaa au huduma inapitia hatua tofauti tofauti tangu inapoanzishwa kwa mara ya kwanza hadi inapoondolewa kwenye...
Dar es Salaam,
Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara...
Habarini wana jamii forums, Hope everyone is excited as I am! ni matumaini yangu wote tu buheri wa afya ya mwili na akili. Kwanza kabisa Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu...