Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani?
Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo...
Kifo kipo tu na hatupaswi kuogopa na kinachotakiwa ni kujiandaa na hicho kifo.
Je ushawahi kuwaza au kujiuliza kwamba Huo mradi wako/biashara yako siku haupo duniani itakuwaje? Itasurvive kwa...
Kama wewe ni Msafiri sana wa maeneo mbali mbali na una lala katika Guest za kiafrika.
Tutakubaliana kuwa karibu maeneo mengi nyumba vyao vina sabuni za aina moja kwa muundo na arufu/manukato...
Greetings Everybody.
Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha. Lengo langu ni moja...
Habari za humu ndani washika dau wenzangu.ebana nataka kufanya biashara ya kuuza accessories za simu na laptop
Je ni kweli zinalipaaa lakini na napenda kuifahamu biashara hii kiujumla inapoanzia
Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio...
First deals under continental free-trade pact planned for July
Ma wants Africa entrepreneurs to be celebrated as ‘heroes’
Jack Ma, the co-founder of Alibaba Group Holding Ltd., said African...
Haya, salaam wandugu,
Nilikimbia Commerce na Book keeping lakini kidogo nina nadharia kuhusu biashara ingawa ninaweza nisiwe accurate sana kwa hivyo mtanisahihisha ambapo nitakosea.
Nimeandika...
Rais Magufuli Plea bargain agreement - working ……..
Pay 800million shillings immediately, the rest within a year …. … ..
Kuna watu walikuwa wanaliibia taifa hili pesa …… ….. No wonder JPM...
SERIKALI Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma imesema soko la mpakani la Muhange ni moja ya miradi ya kimkakati kwao katika kuondokana na umasikini na kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa watu wake wakigusa...
Biashara nzuri ni ile unayoifanya kwa moyo bila kushinikizwa na faida wala makundi ya rafiki yaani kuiga kutoka kwa marafiki.
Vijana wengi hasa wahitimu sio kama hatuwezi kufanya biashara, la...
Habari JF,
Jamani nahitaji msaada wa biashara gani nifanye ambayo haitahitaji muda wangu mwingi, ukizingatia mimi bado mwanafunzi. Eneo ninaloishi ni Dar.
Mtaji nilionao ni milioni 1.5...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Emmanuel Kakwezi amesema kwamba, moja kati ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Serikali...
Greetings everybody.
Leo ni siku nyingine tunakutana kwenye darasa la leo ambapo nataka nikuonyeshe ukweli mchungu ambao watu wengi wanajaribu kuukwepa lakini wasijue kufanya hivyo ni...
Kwa wanaojua gharama halisi za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kiwanda cha kutengeneza maji anisaidie tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini watu hawapendi kuingia ubia kwenye biashara;unafikiri sababu ni nini?
Kwa mtazamo wangu nafikiri:-
Ni kila mmoja kutaka kuonekana mkubwa/boss.
Kuogopa kutapeliana n.k
Je,sababu zinaweza...
Habari za muda huu wana bodi.
Moja kwa moja nijikite katika mada leo mchana nimepata kutumia bidhaa hii mpya sokoni kutoka kampuni ya uzalishaji wa vyakula, vinywaji na vitu vingine...
Habari Vijana wenzangu, Nimeamua kushare na nyie MAMBO 15 niliyejifunza baada ya kujikita katika uanzishaji wa biashara kwa mara kwanza katika maisha yangu mwaka jana (2018)
1: Kamwe usiombe...