Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua. Mwisho wa siku...
7 Reactions
16 Replies
680 Views
BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000). Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi...
3 Reactions
3 Replies
357 Views
Moderator heading isomeke hivi "Namna ya kupata waekezaji kwenye smelting plant kama viwanda vya awali" Huu uzi utaonyesha namna ya kupata investors (waekezaji) kwenye smelting plant za natural...
2 Reactions
6 Replies
400 Views
Hivi ni kweli biashara ya bar na kumbi za starehe ina laana? Zamani nilikuwa na rafiki yangu mfanyabiashara aliyekuwa anaishi Chunya, Mbeya. Wakati huo, mimi nilikuwa katika biashara za magari...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Nauza tcl android tv inch 43 mali safi Napatikana Banana
0 Reactions
33 Replies
807 Views
Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Nchi hii imejaa utajiri kila mahali leo nitakujuza fursa mbalimbali zinazopatikana Handeni mkoani Tanga 1. Uuzaji wa magogo na Mbao Hii ni moja ya biashara kubwa sana itakayokuingizia kipato...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Salamu kwenu. Binafsi yangu bado sijanunua gari, ila huko mbeleni nitanunua. Biashara yangu ikiwa imesimana. Nimeona sasahv vijana wengi sana mafanikio yao ni magari ya kifahari na ya kustunt...
3 Reactions
15 Replies
786 Views
Huku ndani Kuna watu wa Aina tofauti tofauti Tukutane hapa kwa wale tunaojishugulisha na biashara ya saloon.. Hata hivyo wapo wale double possession.. A namiliki salon na ni fundi pia.. Pia yupo...
6 Reactions
51 Replies
19K Views
Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini. Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje. Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha...
9 Reactions
21 Replies
715 Views
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
1 Reactions
6 Replies
237 Views
Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ? Natanguliza shukrani
2 Reactions
5 Replies
241 Views
1 Reactions
16 Replies
279 Views
Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanza na na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo...
0 Reactions
415 Replies
138K Views
Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye...
22 Reactions
190 Replies
15K Views
SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee...
2 Reactions
7 Replies
437 Views
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…