Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika mambo ya kushangaza ni kuwa kuuza biashara kupitia mitandaoni kama facebook,insta,jf Na kupatana nimenote kuwa Watanzania wengi hawajui kufanya biashara. Jee ni kivipi hawajui? Unakuta...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa. Gati hilo ni sehemu ya magati saba yanayojengwa katika bandari hiyo na yanayotarajiwa kufunguliwa na mamlaka hiyo na hivyo...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
TANZANIA kwa muongo mmoja uliopita imekuwa ni nchi ambayo uchumi wake umekuwa ukiimarika na pato lake la taifa likikua kwa wastani wa asilimia nane. Hayo yamebainishwa katika takwimu za Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo kwenye mchakato wa mkopo na bank fulani hapa mjini. Mimi ni mfanyabiashara wa duka la mahitaji ya nyumbani. Nina mtaji wa milioni 7, yaani kwa hesabu za haraka kwa mali iliyopo sasa nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wana jf, kichwa changu kwa muda mrefu kilikuwa kinawaza kufanya kitu kingine kwa ajili ya kuongeza kipato changu ( Alternative way of raising income) katika kuwaza kwangu nikafikilia...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Fanya wewe kama wewe, siyo kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki, sijui maisha ni polepole, sijui kidogo ndiyo kingi n.k. Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote...
29 Reactions
167 Replies
20K Views
Jina la kampuni - Simusolar. Simusolar inauzwa mfumo wa umwagiliaji. Unatumia Solar Power kutoka katika vyanzo vyako mbalimbali vya maji. Mfumo huu unakusaidia wewe mkulima kuepuka gharama za...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Sehemu ya shamba la viazi mviringo yaani ⅓ ya eka moja, inatoa vipeto ( gunia za debe 4) kuanzia 12 guaranteed. Lipo karibu na barabara pia unaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki. Bei ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi nami nimeona niweke two cents zangu kuhusu swala lilochukua moto kwa siku za karibuni haswa swala hili la forex na options. Mambo muhimu sana ya kuzingatia, nayaweka hapa chini nikiwa...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wanajamii. Nina account ya NMB Chapchap. Nataka nijue maximum deposit (kiasi cha juu kinachoruhusiwa kukaa kwenye account) ni shilingi ngapi? Na maximum withdrawal (kiasi cha juu...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Unakuta mtu anakomaa afungue biashara peke yake matokeo yake anaishia kusajili kampuni ama anafungua biashara kwa kutumia gharama kubwa mno ambayo wengi wao wanakuja kupoteza investment zao...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Ningependa leo kuzungumzia japo sio kila kitu ila mafanikio unayoweza kupata kwa kupitia google adsense, kwanza google adsense ni nn? GOOGLE ADSENSE ni program maalum...
5 Reactions
21 Replies
10K Views
Napenda kuuza vanila naweza kupata wapi
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Saloot Leo ngoja ni-share na nyie wana jukwaa mipango/Focus zangu na nyie wanajukwaa. Binafsi endapo nitaajiriwa baadae nitaacha kazi tu sitozeeka kwenye kazi ila sitaacha kazi kizembe...story...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Wadau napenda kuja na wazo la ku-disect biashara fulani fulani ili tuweze kufahamu undani wa hiyo biashara (najua jungu kuu na humu ndani kuna wafanyabiashara tofauti).. Mfano niliongea na muuza...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Naomba anaeweza kunisaidia hatua za kuanzisha dispensary binafisi utaratibu upoje ?? msaada naombeni
0 Reactions
8 Replies
7K Views
habari wanaJF, leo nimependa kuwashirikisha kitu ambacho nimekijaribu na kuona kinafanya kazi kwangu. Unaweza kupata salio kwa kushare link yako kwenye mitandao ya kijamii. Swali unapataje salio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani nahitaji kupata mkopo kwa huyu bilionea Mohammed Dewji kama kuna kuna mdau yeyote aliyewahi kukopa kwenye kampuni ya huyu bilionea naomba mwongozo wake Asante
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…