Kuna jamaa yangu aliniambia kuna biashara nzuri nataka nikuunganishe upate hela bila kutumia nguvu nyingi, na wala hutumii ela nyingi,
Nikimuuliza biashara gani hasemi, siku akaniambia kama una...
Amani iwe kwenu wana JF,
Nmewaza sanaa kwa nini TRA isiwape nafuu wafanyabiashara wanaoagiza mizigo nje baada ya makadirio ya kodi wapewa nafasi ya kulipa kwa awamu au unapewa muda hata miezi...
Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.
Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia...
Hopeful mpo njema wadau. .
Hoja yangu au swali langu ni hivi...
Kwa mtu mwenye exposure ya uelewa juu ya namna ya mfumo wa ulipaji kwa mawakala wa mitandao ya mawasiliano especially kwa yule...
Habari wanajamvi,kama kuna mtu ana mchele mzuri kwa bei ya jumla tuwasiliane nauhitaji kwaajili ya kuuza kwa rejareja katika fremu .napatikana morogoro mjini
Asanteni
Habari wadau,kama kuna anayefahamu fremu nzuri ambayo unaweza kuweka duka la rejareja ,nafaka pamoja na bidhaa zingine ndogo tuwasiliane kwa bei ya 60-80 kwa mwezi iwe eneo karibu na makazi ya...
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale...
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani...
Mm ni mwalimu npo mbeya mjini na mshahara wang kwa sasa take hom ni kama 350 iv, nataka kukopoa NMB kiasi tajwa kwa ajili ya kufungua kibanda cha mahitaji ya kawaida ya majumbani, location...
Watanzania, baada ya kuhangaika kutafuta ajira na kushindwa, nimeamua kuanzisha biashara ya M-Pesa.Tafadhali mwenye uzoefu na hii biashara naomba anifahamishe yafuatayo:
1.Mtaji wa kuanzia
2...
Habari za wakati huu,
Napenda kuwapa njia bora ya kuongeza thamani wa bidhaa na mvuto kwa wateja hasa bidhaa za kufungasha.
Hapa njia nayozungumzia ni kuweka lebo, najua wengi mnaweka lakini...
Natafuta Business partners, basically iOS developers. I need at least two apps created every month and to be placed on Apple Store. We will help each other as i have JS knowledge, i just started...
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu wa kupokea mizigo kutoka Ali express niliagiza kitu kutoka China leo nimetrack nakuona ujumbe huo je mzigo wangu ndo umeshafika au laa! !na kama tayari...
Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu...
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na...
Habari wakuu?
Naomba niende kwenye hoja ya msingi,
Kuna mzigo nimeagiza kutoka china, sasa umekaribia kufika... wakati nafikiria jinsi ya kuutoa bandarini, nikakumbuka kuna kipindi lilitoka...