Wana jamvi habari za leo!
Nataka kuanzisha kampuni ya familia itakayokuwa ina deal na kilimo na ufugaji.
Sasa naomba msaada wa kuanzisha kampuni kisheria nifuate taratibu zipi? na pia najua kuna...
Maisha hayajawahi kuwa magumu hata siku moja bali ni sisi tu binadamu ndio tunakuwaga na mioyo migumu na tunashindwa kujipekecha sahihi ili kuendana na kasi ya Dunia.
Kasi ya Dunia ni kujua fursa...
Wakuu mi huwa nalima mpunga kwa kutegemea mvua huku Mwanza, Mwaka huu msimu haujaenda vzuri, na hvyo hali ni mbaya....
katika pita pita zangu nikakutana na jamaa anafanya kilimo cha umwagiliaji...
I know the biggest knowledge bank of our times resides in this village. I'm thinking of the above business, can pull some heavyweights and sell the idea if it works. If anyone has info on the...
Mimi ni kijana wa kiume
Ndoto zangu ni kufanya kilimo maana ndo kazi naipenda sana toka utotoni
Ombi langu kwenu ni kunishauri
Nianzie wapi na niendelee vipi
Mfano
Mawazo yangu ni kutafuta...
Habari, karibu ndugu msomaji Leo tutaangazia kwa uchache namna biashara za kuunganishana ( biashara za mitandaoni kama wanavyoziita wao)
Hizi sio zile zakuuza bidhaa online kama wafanyavyo...
Ndugu zangu wapendwa nimeweza kuanzisha biashara ya spare parts za magari makubwa na madogo Nina ofisi Kinondoni B.lakini sina stock yeyote natafuta wateja na kusupply.Na nina wateja ambayo ni...
Wana jf.
Tangu kubarikiwa machinga kupanga bidhaa zao barabarani. Sasa imekuwa kufuru hadi sasa hakuna sehemu ya kupita zaidi ya kuonewa huruma na wenye magari yao wakikukwepa kama mpira wa...
Kuna sehemu nimesoma kuwa simu kwa maana ya mawasiliano inachangia asilimia sita ya pato LA taifa hivyo kunifanya niwe na shauku kujua vyanzo vyengine vinachangia kiasi gani katika pato LA taiga...
Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar...
Habarini za asubuh
Kwa watu walioko Dodoma nahitaji mkopo Wa mil.3 ninakiwanja cha futi 55/45 maeneo ya kizota mbuyuni kama dhamana na nimemaliza udom mwaka huu degree ya sheria
Naombeni...
Habari wakuu,twende katika hoja.
Napendekezo la kushirikisha wadau wenye mitaji kuanzia 50,000/- na kuendelea tuungane katika uwekezaji katika mradi wa nishati inayo tembea (mobile energy)...
SERIKALI imeridhishwa na uwezo wa viwanda vya ndani katika kuongeza thamani ya korosho ya Tanzania, huku mpaka sasa tani 40,050 zimeshapakiwa kwenye meli tayari kwenda nje ya nchi kupitia Bandari...
Wakuu mwenye mawazo jengefu ya namna ya kufungua ofisi ya kutoa huduma za internet na photocopy, eneo la DSM.
1. Naomba kujua ni vifaa gani ninapaswa kua navyo?
2. Changamoto za biashara hio
3...
Habari wana jamvi,nimekuja kwenu kuomba USHAURI juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa vidogo vidogo vya machine kama mikanda(belt) ,engine oil na ring piston kwa mtaji wa 2.5M naweza kuanza ...
Habari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla
lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo
Kama...
Wazee usalama upo ?
Ok mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo 2018 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (COSS) sikuwa na lengo la kuajiriwa baada ya masomo hivyo nikajiingiza kwenye biashara ya...