Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Poleni na majukumu wana JF, Natafuta soko la Limao Lengo la kuanzisha uzi huu ni kushirikiana na mdau yeyote. Kama wewe huko ulipo bei inalipa basi tushirikiane na nna uwezo kukusanya tenga moja...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali. Hapa karibuni...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Naamini wapambanaji wenzangu mpo poa! Naomba kujua wale manguli wa zile kazi za promotion a.k.a Bounty Taskier or Bounty Hunter mnapokutana na mimi nipate kuongeza Bounty Hosts. Kule Bounty Hub...
0 Reactions
3 Replies
563 Views
Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa toka Kisarawe II kwenda Mwapemba, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wajasiriamali Wenzangu Naomba msaada wenu, nahitaji kuanza biashara ya kukodisha Mitambo yaani niwe na mitambo yangu niwakodishe watu. Lengo la kuweka uzi huu hapa kwenu nikuomba ushauri wa...
1 Reactions
44 Replies
16K Views
Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
amani iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na kipato kidogo,mazingira magumu na adha...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo kwenye pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na habari ya tajiri mmja wa marekani aitwae Marc Randolph. Huyu ni muasisi wa kampuni wa Netflix, kwa wale wapenzi wa movies na series mnaijua...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Habari Ndugu Zangu, ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Za jpili. Samahani. Naomba kwa MTU yoyote mwenye kujua utengenezaji wa Chopstick Nitashukuru sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kuna wafugaji kadhaa wapo Kibaha nilianza mazungumzo nao ya kununua maziwa kwao na kuyaleta kuuza Dar na wapo tayari kwa hilo. Wao wamesema wataniuzia kwa sh 1000 kwa lita...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Biashara nyingi tatizo huwa ni wateja lakini kwa samaki na madini ni tofauti wateja wanakuwepo lakini bei ndio huwa changamoto kushuka na kupanda kuendana na upatikanaji Biashara ya samaki kwa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Benki ya Kiislamu yazinduliwa Send to a friend Thursday, 24 November 2011 19:30 0digg Geofrey Nyang'oro WAFANYABIASHARA wanaofuata misingi ya dini ya Kiislamu...
0 Reactions
108 Replies
18K Views
Habari wadau, nafanya biashara ya ice cream hizi za ubuyu au ukwaju za kufunga. Changamoto ninayoipata kwa sasa niupatikanaji wa vifungashio/ vifuko. Kwa wadau waliopo DSM mwenye kujua mahali...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habar zenu, nipo kwenye harakat za mwisho za kufungua biashara ya chips. Tatizo nakosa location muda wa kutafuta location sina nabanwa sana na mambo ya kazi. Naomba msaada kwa mtu anaejua...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ningekuwa na mamlaka husika ningechagua mji mmoja ambao ungejengewa miundo mbinu mbalimbali halafu wadau mbalimbali wa sanaa wakapewa motisha ya kuwekeza sehemu hiyo. Katika mji huo kutakuwa na...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba nijue kama kuna uwezekano wa kurudisha hela zilizopo kwenye account ya kikuu kuja mpesa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…