Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Greetings everybody! How is the feeling today? Nimeona kwasababu watu wanasoma post nazoandaa basi nitakuwa naandika kila siku na kuweka hapa JF. Hapo vipi? Yaani kila siku unapata darasa la...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wana JF wezangu, Poleni na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku kupambania kujinasua kimaisha, pia kukuza uchumi wa Nchi yetu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 na kiwango cha...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Mwenyeufaham wowote na hili jiwe lilionotwa n kuhifadhiwa mdogo lakin ucku niliona kinang'aa sana ndani ya droo, kufungua ndo nkakuta hili jiwe cjajua kam ni madini o wat, na kama ni madini je ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Nipo nna mpango wa kufungua pharmacy hapa Mbeya lakini sijajua mtaa gani unafaa kibiashara. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu. Asante
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenye jiji lenye mzunguko mkubwa wa hela kama Dar-Es-Salaam,biashara ni nyingi sana. Iwe kubwa ama ndogo;kila siku watu hubuni biashara au kazi mpya ambazo kwa namna moja ama nyengine huwaingizia...
14 Reactions
17 Replies
7K Views
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nilikuwa na mtaji wa mil 1.3 plan zangu zimelenga kufungua sehemu ya fast food au street food Ambayo hasa itakuwa na product ya kuku na samaki na vitafunio kama...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Ningependa kujua kama kuna wafanyabiashara wa mitumba hasa kwa morogoro mjini, vipi hali ya biashara na changamoto zake!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hi If you rack brains to find perfect oil and gas business In Tanzania. Investing your cash in petroleum products supply business is a wise decision. In this post, I expose you some facts enable...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Japan Ni nchi iliyoendelea Lakini maendeleo Yana gharama kubwa pia. Mfano mtu akifa Japan kutokana na ukosefu wa ardhi eneo la kuchimba kaburi lazima ununue na linauzwa kwa dola za marekani...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu Igweeee Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuleta mrejesho hapa jamii forum maana ni sehemu ambayo nilipata wazo la kuanzisha kikundi cha maendeleo. Nilisoma uzi wa mkuu mmoja unaohusu vicoba. Nikavutiwa na namna vicoba...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakuu habari, wakubwa naomba kujua ni kiasi (amount )gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mfuko mbadala.hii ya kisasa ambao imechukua nafasi ya rambo
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni Engineer mwenye Elimu ya Kiwango cha Masters, Nakaa DSM Natarajia kuanzisha biashara ambayo partly inahusu fani yangu. Nimefashafanya kazi ya awali ikiwa ni pamoja na utafiti, mpango wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepita Chato kwa Raia namba 1 Tz nimeshangaa barabara za lami zinavyojengwa mpaka vijijini lakini wajengewa hawaoni thamani ya barabara hizi na kuzitumia kinyume na matumizi kusudiwa. Wanapanga...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wenzangu wapendwa, Kufuatia uamuzi wa mahakama leo, Acacia Mining Plc na shughuli zake sasa zinakuwa sehemu ya Barrick Gold Corporation na tunawakaribisha katika familia yetu. Barrick ilidhamiria...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni wazo langu tu limenijia humu Jukwaani,kuna watu tunakuwa serious tunahitaji huduma fulani ila na humu jukwaani kuna watu wasio waaminifu pia wanakuwa serious kuharibu malengo ya watu na wengine...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wazoefu mnaweza Nisaidia eti mtaji wa duka la hardware unaweza kuwa shingapi???
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wadau, Je naweza kwenda China na bank visa card ya Crdb na nikaweza kutoa pesa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…