Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi.
Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM...
wakuu nina kimgahawa cha kizushi napikaga chakula. leo mwezi wa ramadhani umeanza na waumini wengi wa kiislam wanafunga mchana hawali. nahisi kabisa kabiashara kangu katadhoofika. au mnasemaje wakuu?
Kesho naenda kwa afisa elimu akanipe japo shule nikanivolontie biashara Iko ila nahitaji niongeze uwanja wa pesa.
NINA DEGREE YA EDUCATION NATAKA NIKAOMBE KAZI SERIKALINI. Tatizo ni kumpata...
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni...
Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi...
Kama mada inavyojieleza,,,naomba kufahamishwa kwa wazoefu na wanaofanya hii biashara,,ni maeneo gani kwa Dar naweza kupata bidhaa kama ream paers,peni na couterbook kwa bei ya jumla.
Mpaka sasa...
Wadau kwa Mara nyingine salaam.
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza bidhaa za stationary kwa bei ya jumla,
Kabla ya kuanza nataka kwanza nisafiri nchini China nifanye survey ya bidhaa hiyo na...
Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa...
Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za...
Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu.
Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa...
1. Kuuza maji
kwa walioko dsm kuanzia kimara,ubungo tabata na maeneo mengine mengi maji ni shida
Unafanyaje?
Kama una mtaji na eneo unaweza kuchima kisima na kuanza kuuza maji, pia kama huna...
Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo...
Habarini ndugu zangu!
Nichukue nafasi hii kutoa dukuduku langu.
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 sasa, naishi Mtwara mjini na ni Kiziwi(si wa kuzaliwa nilipata tatizo hli mwaka...
Habari wanajukwaa.
Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira...
MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli...