Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo...
4 Reactions
74 Replies
12K Views
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya. Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine. NB: kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu Mimi nimeanzisha kampuni iitwayo kwezitu ambayo inatengeneza chai ya karafuu yaani clove tea. Kampuni imekizi vigezo vyote vya kisheria na inaruhusiwa kuzalisha na kufanya biashara. Wakuu...
1 Reactions
1 Replies
969 Views
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema tangu kujengwa kwa ukuta wa kuzuia utoroshwaji wa madini ya tanzanite wilayani Simanjiro mkoani Manyara, serikali imeongeza mapato, kwa kukusanya kodi Sh...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Leo nimepata mwaliko kwa njia ya mitandao hawa wanajihusisha na biashara za alovera Nimeulizwa nipo tayari.? Kabla sijasema naomba mwenye uelewa na hawa jamaa nisije ingia mkenge.. Sent using...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba... JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wanajamvi mimi ni mkazi wa hapa Dar Es Salaam, sina taaluma ya insuarance. Nimefikiria biashara ya kufungua hapa Dar Es Salaam nikaona biashara ya insuarance za magari itanilipa,iwe broker...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow wana jamvi nina shida ya dharura ambayo nimeona nije humu ili niweze kupata mkopo wa shilingi 300,000 niweze kuitatua na nitarudisha mwisho wa mwezi kwa riba ya shilingi 50,000 zaidi .mimi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mi nadhani ili kujikwamua na kuacha legacy kwa kizazi chako ni kujitoa, kuachana na anasa hata kama una uwezo nazo lakn acha uelekeze nguvu kwny kazi. Mi naona hapa ndo watu wengi tunafeli, mtu...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Salaam kwa wana jf wote,Licha ya kupitia nyuzi mbalimbali za uanzishaji wa kampuni nimeambulia kuelewa hatua za kufuata na nn kufanya kupata kampuni yako. Ningependa kujua yafuatayo. Aina ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying...
20 Reactions
123 Replies
12K Views
Natumaini wanajamvi ni wazimaa wa afya Kama mada ilinavyojieleza ..Mimi ni mjasiriamali mdogo. Nimekuwa nikifanya biashara ndogo ndogo baada ya kutoka shule. Muda mfupi uliopita niliingia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri, Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika. Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Naomben ushauri mwenyekujua aina za mashinenzuri za kukamulia wapi zinapatikana kwa hapa Dar Pia naomba anaejua changamoto zahii biashara aweke hapa walau tuzifahamu Naomba kuwasilisha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Salaam zenu jukwaa la biashara kwa wataalamu hivi mizani ile mikubwa ya chuma ya kupimia bidhaa mfano mchele kg 200 na kadhalika inapatikana wapi na je second hand au dukani ile ya mwingereza bei...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya weekend Katika maisha yangu na pengine wengi wetu humu, tumetumia muda wetu mwingi kupata Elimu ya darasani japo mengi tuliyojifunza hayakidhi matakwa ya mahitaji ya mtaani. Kiujumla...
24 Reactions
50 Replies
7K Views
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za kwenda Afrika Kusini, ambapo safari ya kwanza kweda Johannesburg itakuwa Julai 2019. Hii itakuwa safari ya tano ya kimataifa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niko najishughulisha na udereva bajaji Moro, bajaji ni ya kwangu mwenyewe wala haina tajiri hesabu inapatikana 2 Mungu anasaidia lakini nina changamoto pia, zipo kama ilivyo katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni wito wangu kwa shirika la TBS kufuatilia na kuja na majibu iwapo hizi bulb za umeme zinaoonekana kutengenezwa China na zinasambazwa nchini kama zimekaguliwa ubora wake. Ziko hizi bulb zilizo na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Tafadhari naomba kufahamishwa bei za baro za nguo za mtumba hapa dar es salaam, kwa anaye faham naomba anijuze tafadhari.
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…