Katika miaka 2 au 3 iliyopita...Kulianzishwa jukwaa la wachumi..Mh Mpango alizindua
Kwa nini hawajawahi kukutana na kujadili changamoto au mjadala kuhusu uchumi?
Au wana hofu?
habari wanajamvi,samahan nnataka kuchukua mkopo bank NMB ila take home yangu ni laki tano (500000)je naweza pata kiasi gani cha mkopo?na nkardisha kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingap...
Habari wanajamvi,
UTANGULIZI
Kwa asili ya ajira za kitanzania, ajira ambazo una uhakika wa kupata pesa ya kujikim ila sio ya ziada, ajira ambazo una uhakika wa kubanwa na kazi kwa masaa yote ya...
Norways Statoil and United States based ExxonMobile will invest up to 30 billion US dollars (over 48.2trn/-) in the next ten years before commercial production of liquefied petroleum gas (LPG)...
Wadau naomba mwenye uelewa na microfinance anijuze yafuatayo:
1. Unahitaji mtaji wa kiasi gani kisheria kufungua microfinance ya kutoa mikopo ya muda mfupi isiyozid miezi mitatu.
2. Procedure...
Hii kazi uwezi jutia lakini wengi wetu, sana sana sisi wanaume uiona haina maana lakini ukihifanya kwa stadi na bora wa juu huweza kuingiza kipato kikubwa sana
Kazi yenyewe ni:
1. UFUNDI...
Amani iwe kwenu wana JF
Kama heading ilivo
Naitamani sana hii Biashara ya usafirishaji wa abiria hasa hasa ya haice ndo ninapotaka kuanzia kabla sijaingia kwenye mabasi makubwa, Mwenye ujuzi...
Kama mda inavyo sema nahitaji msaada wenu wadau nahitaji kukopa kwenye mtandao wa talaa lakini Nina kitambulisho cha mzanzibar hakikubali nafanyeje na Nina kitambulisho icho tu
Salaam! Ila ndiyo ivyo import pale getini iwe namanga, iwe holili, iwe tarakea wanazingua geti la tz TRA wameeka utaratibu siyo yaani sijui tupite njia za panya, hivi yupo anaye zifahamu njia za...
CRDB kinara Afrika Mashariki
Source:http://mtanzania.co.tz/crdb-kinara-afrika-mashariki/
Bethsheba Wambura, Dar es Salaam
Benki ya CRDB imetajwa kuwa benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini...
Kuna account huko Instagram inafanya biashara ya vyombo vya ndani na jikoni. Huyu bwana anabei inayotamanisha kweli na kwa maelezo yake baada ya kumtwangia simu alidai hana ofisi bidhaa zake zipo...
Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza...
Baada ya kufuatilia kwa mda mrefu mjadala wa FOREX humu ndani na pamoja na kufanya utafiti sana na kujifunza,nimegundua yafuatayo
1-FOREX INALIPA
2-FOREX INAHITAJI SHULE HASWA
3-FOREX INAWEZA KUWA...
Nahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe...
Nauza vifaa au vyombo comply kwa ajili ya. Chips.kama vifuatavyo.kuna kabat.meza mzuri majiko ya kukangia na kuchomea.ya mkaa lkn..vyombo vingine pia.yani ukichukua ni kwenda kuvitumia tu.bei yake...
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia...
Mgonjwa hospitali...kwa sababu uwezo wa kujenga umepaa. Kama mingo zilikuwa hazieleweki unaweza jikuta unajenga awamu ya sita.
Kila wikiendi unaenda kukuangalia kiwanja kama kigonjwa kimelazwa...