Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana...
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association...
jambo ambalo sja lielewa ni kukazania tanzania ya viwanda na huku tuna elimu mbovu na atuna teknolojia yeyote tunayo weza kuitumia ili tufike kweny ivo viwanda mi nnavyo fahamu tungekuwa na...
Utangulizi
Biashara ni utafutaji na usambazaji wa mahitaji ya walaji au watumiaji katiks sehemu mbalimbali.
Ili biashara iendeshwe kwa mafanikio kuna taratibu za kusheria ambazo nilazima...
Nimeshangazwa kidogo na huduma za mtandao wa Aitel nimekuwa nautumia kwa kitambo kidogo hatimae nikaibiwa simu nikabaki na laini yangu niliosajiri kihalali ikiwa pamoja nakuitumia kwa Aitel money...
Habari ndugu,naomba kwa wale wote Tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na Computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa...nitafute kwa...
Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari
Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari
Mamlaka ya safari za Anga Tanzania (TCAA), imetangaza kuwa kampuni ya ndege ya...
Habari ndugu msomaji popote pale ulipo, na matumaini uko salama hadi wakati huu, ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwani wengi walitamani kuwepo leo lakini hawapo kwa mapenzi yake Mungu...
kumekuwa na rushwa na ufisadi usiojali maslahi ya nchi hata kidogo kwenye utoaji wa tenda za insurance/ Bima yanayo husu mashirika ya umma.
ni mtindo sasa kwa mashirika mengi kutoa tenda kwa...
> Mamlaka hiyo imesema inatambua uwepo wa Watanzania wanaofanya biashara kupitia Mitandao ya Kijamii hivyo wote watakiwa kujitokeza ili wapewe namba ya mlipa kodi(TIN)
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani.
Wadau leo naomba mlitupie macho...
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
Habari wakuu!
Katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia.
Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi, Send-Off na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji...
Wakuu nahitaji watu wawili tushirikiane kupiga kazi
Kazi nimepiga hesabu ni kuwa tukianza na mzigo wa milioni sita(6,000,000) tutaingiza almost milioni kumi kila wiki mbili (haya ni makadirio ya...
TANZANIA SHARED BUSINESS (TSB)
BUSINESS PARTNERSHIP OPPORTUNITIES
Tanzania Shared Business (TSB) inatafuta washirika wa biashara katika kampuni ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza...