Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana...
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa
Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena...
Habarini wadau,
Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana"
sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini...
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe...
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba...
KARIBU NA MAKALA NYINGINE ZA KUELIMISHA TEMBELEA BLOG YANGU
MKUU ONĒ BLOG
Utajiri unaanzia kwenye imani ambayo mtu unayo kuhusu wewe mwenyewe, kuhusu maisha na kuhusu fedha.
Kama mtu utakuwa na...
Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana...
Habari wanajamii
Naomba muongozo kuhusu kahawa, nahitaji kununua kahawa na kusafirisha kwenda Uganda. Je ni taratibu gani nitumie kwenye ununuzi? Kwa upande wa moshi naambiwa ni lazima nifanye...
Source: Kifahamu kiwanda kikubwa zaidi duniani
Shirika la Boeing lilipoamua kuunda ndege yake chapa 747 - lilijizolea sifa kwa kufungua mlango wa kutengeneza ndege kubwa zaidi duniani.
Hata...
Kama umewahi kumpa biashara mpenzi wako ili aisimamie , na ikafanikiwa tuambie ulitumia njia zipi,
Pia wewe aliyeishia kupotezewa hela yako tuambie ilikuwaje,
Mwisho unatoa ushauri gani kwa...
Wazee nimeanzisha biashara haina hata mwezi ila TRA wameshaanza usumbufu. Nilisikia kwamba kunamsamaha wa kodi kwa biashara mpya sijui ni miezi sita. Nikitaka kupewa huo msamaha officially...
Kipindi cha nyuma kidogo nilileta hapa jamvini nikihitaji vijana wenye mawazo ya biashara ila wenye ukosefu wa mtaji. Kwanza nashukru muitikio ulikuwa mkubwa ila kulingana na uwezo wangu mdogo...
Hello guyz!... Msaada tafadhali kuhusu hili, nimeona company ya kutengeneza ream papers from Kenya, kiwanda kinaitwa JKT Global Products Limited Kenya.
Ila sijaweza kujua jinsi ya kumpata Supplier...
salamu kwenu wanajamiii forum. Kuna jamaa yangu mmoja aliniuliza swali kuhusu kiwango cha uchukuaji mkopo kwenye taasisi za fedha akiwa na maana ya benki na hizi taasisi ndogo ndogo kama pride au...