Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo...
Habarini members,
Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale!
Natanguliza shukurani
Habari Ndugu.
Kama heading inavyosema, natafuta binti wa range ya 18 - 25 Yrs old, Tusaidiane kwenye kuuza nguo za Mitumba za Kina Mama.
Binti awe mwaminifu, Ikiwezekana mcha Mungu, awe...
Kila mtu anataman kua katika hali nzuri na kukua kwa uchumi. Ila kuna mambo ambayo yanaitajika ili ufikie kwenye mafanikio hayo
Kitu cha kuanza nacho, haujishungulishi na kitu utakuaje tajiri kwa...
Habari zenu wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj.
Kama kuna mtu anafursa hiyo na...
Mimi na trade Nasdaq kwasbabu hizi;-
Muda Kwangu mimi unaanza muda then ndo ije price kama sijui muda then I can do nothing in the market pia nafanya kazi zangu zote then saa 16:30 EAT ndo nakuwa...
Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais.
Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na...
Habari wana-JamiiForums,
Nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa serikali tangu mwaka 2023 nikiwa kama afisa tabibu (clinical officer). Nimeleta uzi huu kwenu nikiomba ushauri kuna mambo kama...
Habari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.
Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na...
Tanzania's Economic Downturn and the Scarcity of Foreign Currency: A Symptom of Unidirectional Policymaking?
In recent months, Tanzania has been grappling with an alarming scarcity of foreign...
Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani.
Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi...
Ndugu mdau, au kama una mfahamu mdau ana mradi alioanzisha na umeshika kasi..hata kama kuna management ya mradi husika iwe ujenzi fulani, utoaji huduma au uzalishaji wowote....Nakuletea huduma...
Wajamvi polen. Na majukum.
Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi...
Wajamvi polen. Na majukum.
Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn...
Habari jf
Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida ni changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3.
Kwangu ilikuwa hela nyingi coz nilikua...
Habarini ndugu zangu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kwa mtu yeyote anayejua namna ya kufanya biashara Amazon naomba anipe muongozo kwani natamani sana...
Hii biashara ni nzuri na inatoka lakini bila kua mjanja mjanja basi kutoboa ni ngumu sana, zaidi ya kupata hela ya kula tu kwasababu faida yake kwa kila kilo ni tsh 50-100...haiwezi kuzidi hapo...
Ee kwema wadau?__ni yule yule kijicho kwenye sket a.k.a mzinzi mjanja asiyekamatika, kutoka Dodoma
Ndugu zangu me nauza duka kama miaka 6 sasa mafanikio nimepata mengi tu ila hii biashara...
Wakuu habar za mchana.
Kuna kipindi niliwahi kusikia watu wanatumia mtandao wa Desi(Kama nimekosea nirekebishwe) huu mtandao sijui ulikuwa una operate vp lakini nilisikia ilikuwa ni uwekezaji...