Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba msaada, Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa. Asante.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Kama yupo mkopeshaji nijulisheni ninadharura
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Maeneo mengi nasoma juu ya hali ngumu kwa wawekezaji, mara hali mbaya kiuchumi, usalama nk Hebu naombeni tuweke vivid examples za makampuni/wawekezaji walioamua kuondoka TZ na ku relocate maeneo...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Natafuta Eneo ambalo naweza kujenga frem Arusha. Bajeti yangu siyo kubwa sana hivyo lilkiwa katika barabara za ndani siyo mbaya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahali : Mwanza Mtaa: Buhongwa Ukubwa: Urefu 40, Upana 24 Bei: 8,000,000, maelewano yapo Karibuni Kwa ofa zenu, namba zangu ni 0757785804/0675663282
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hili ni pigo kubwa sana kwa wafanya biashara na watu wanaofanya biashara kubwa za kuagiza mizigo nje ya nchi. Mwezi uliopita tu ilikua kwenye 2200
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Et ndugu zangu ukinunua gari nje ya nchi pale bandarini kodi ipoje na kuna hatua zipi? Naombeni maarifa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zene ndugu wanajamii me ni mmoja wa watu ambao ninataka kuanza kufanya biashara ya bodaboda nimepata dereva mzuri ambae ni mwanifu sana kuliko maelezo nichoomba ni kuwa mfano mkataba wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Naomba kufahamu hatua na gharama za kuanzisha kituo cha kufanyia mitihani kwa wanao rudia mitihani ya kidato cha nne. ASANTENI
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Eneo gani zuri kwa biashara ya game kama vile playstation kwa Arusha? Napenda nije Arusha nichanganye mazingira mapya, sasa sijajua ni sehemu gani ambayo ni nzuri kwa game na makazi pia
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba ushauri wenu wa kinaga ubaga nataka kuanzisha biashara hii ....! Je Biashara hii inalipa ? Zipi faida na hasara zake ? Na nyongeza nyingine nyingi karibuni katika jukwaa tena Nakaribisha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nataka kufungua saving account tanzania,je ni bank gani nzuri kwa huduma hii na michanganuo yake kwa mwenye uelewa na hili....
1 Reactions
66 Replies
38K Views
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma...
5 Reactions
27 Replies
6K Views
Uongozi wa juu katika kampuni (executive leadership) ni dira katika kuhakikisha kampuni inafikia malengo yake (corporate objectives). Uono wa kimkakati (strategic vision) ni ufafanuzi juu ya wapi...
8 Reactions
14 Replies
4K Views
Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu! Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam! Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuna mdau mmoja kanidokeza na kulalamikia maisha ya mtwara kuwa yapo juu hasa upande wa vyakula tofauti na sehemu yoyote tz. Wenyeji haya ni ya kweli, kwa jicho la ujasiriamali nahisi kuna fursa.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za jioni wapendwa, Mimi niko Shinyanga nataka kuanza kuuza madaftari, kalamu na ream papers kwa jumla nataka kuagiza mzigo moja kwa moja toka viwandani lakini sijui hivi viwanda vipo wapi...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom