Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, habari za muda huu... Naomba kuelekezwa sehemu yeyote Dar es Salaam ninayoweza kupata mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai. Ikiwa maeneo ya Kimara na Mbezi ya kimara nitafurahi zaidi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Sa hivi ukitaka kwenda bukoba Kwa ndege book week kabla maana abiria wamekuwa wengi kuliko kiasi mpaka atcl wameongeza safari
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa Naomba mnijuze/kushauri je kwa utawala huu wa Magufuli ni biashara gani ukiifanya inaweza kukulipa hata kama sio kwa faida kubwa lakini mzunguko wa bidhaa unakua nzuri Hasa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
My take: Hapa porojo ya ccm haitoweza, despite Dar es Saalam's passing of law that criminalises questioning of statistics where the government truth is considered absolute; a seriously matoke...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema tafadhali...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo. Mara...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Ninajiandaa kufanya mradi wa kuku wa kienyeji/chotara kibiashara.... Nipo moshi..... Nataman kujua juu ya masoko na usafirishaji, kwa mwenye zoefu/kujua naomba masaada....... Plz.. Pia Naomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cashew prices have jumped after John Magufuli, Tanzania’s president, ordered the army to buy the country’s entire 2018 cashew nut harvest. The African nation is the seventh-largest producer of...
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakulima mjini Tunduru wakiri kipokea fedha zao kwenye akaunti zao baada ya kuuza korosho kwa jeshi. Kiasi cha zaidi ya sh. milioni 500 zimeshapokelewa na wakulima bila usumbufu wowote. Aidha...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
BIASHARA YA MAJI NI DILI Siku chache zilizopita niweza kufanya mahojiano mafupi na bwana Athuman (si jina halisi) muuza maji kutoka mji mdogo wa madini Makongolosi Katika wilaya ya Chunya. Na...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
DC Hai awashughulikia waliotafuna Sh126 milioni za Saccos Kwa ufupi Mkuu wa Wilaya ya Hai amewataka watendani waliohusika na upotevu wa fedha hizo kuzirejesha kwa wananchama haraka iwezekanavyo...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Nimekuwa mteja wa kubadili pesa mara kwa mara hasa wakati nataka kwenda nje kikazi au hata kutembele jamaa na marafiki. Awali sikuwa najua kwamba hizi Bureau de Change ni mahsusi kwa ajili ya...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wakuu! Sikuku inaendaje? Jamani nilikuwa naomba msada namna ya kuomba TIN number kutoka TRA kwa njia ya mtandaoni, yani online registration for TIN , Nasema hivi kwa sababu kuna baadhi ya...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wadau! Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kilo moja huuzwa £2.99
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Japhet Justine amesema kuwa TADB ina mtaji wa kutosha kwa sasa kwa ajili ya kuwahudumia wakulima. Bw. Justine...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wajuvu mambo msaaada hapa jiwe gan hili??
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom