Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Watanzania zaidi ya 1,400 wanatarajia kupata ajira za moja kwa moja kutokana na kampuni saba za Uturuki kuwekeza nchini. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najua kunamfanya biashara mpya ambaye ndiye anayenunua korosho kwasasa! Hofu yangu ni kama kweli mfanya biashara huyo anajiamini na biashara yake! 1. kama biashara anayoifanya anategemea kupata...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
FBME, one of Tanzania's largest commercial banks, has been cut off from accessing the US financial system on suspicions that the bank has facilitated money laundering, terrorist financing, and...
2 Reactions
86 Replies
13K Views
Habari Mimi ni C.E.O wa website ya daudlibrary Leo nawapa Ofa wafanya biashara wote watangaze biashara zao kwenye website yangu kwa punguzo la bei kutokea elf 20,000 mpaka elf 5,000 Fikia hadhira...
2 Reactions
1 Replies
825 Views
Habarini wadau. Kuna kitu huwa kinanitokea kila ninapokwenda soko la Karume Dar Es salaam. Nimekuwa nikienda kununua nguo, viatu na mabegi kwa muda mrefu tu.... kero inakuja pale unapokuwa...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Naomba kuuliza, kati ya biashara inayoendeshwa kwa mfumo wa kampuni na iliyo nje ya mfumo wa kampuni, ni ipo yenye unafuu wa kodi na Kivipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi Naomba mawazo yenu. Nataka weka tangazo la biashara yangu Zambia. Je ni gazeti gani zuri kuweka tangazo langu?. Target client ni watu wa pato la kati(middle class). Nawasillisha
0 Reactions
2 Replies
885 Views
NAIROBI (Reuters) - Tanzania’s plan to buy the country’s entire 2018 cashew nut crop could lead to a global shortage, with processors in Vietnam and India likely to be hit first, traders said...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Wanajamvi habari zenu. Naamini mko vyema na mnaendelea kupambana. Kuna hii ishu huwa naifikiria sana. Mtaani kuna vijana huwa wanapita na spika wakitangaza kununua pesa mbovu na dola na pesa...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Wana JF nisaidien kupata jibu la swala hili mfano, wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga, mambo yamegoma ukalimbikiza deni la kodi ya miezi 3 sawa na Tsh 300,000/= . Mwenye nyumba akakupa siku...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza...
0 Reactions
55 Replies
22K Views
Ninataka kujua wana wajumbe nchi kuchoma pesa ya nchi ingine kwa madai ya kulinda pesa ya nchi dhidi ya nchi ingine...wanauchumi na wataalami Wa mambo ya fedha na utawala hebu lidadavueni hili
1 Reactions
1 Replies
604 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, nina elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya chakula na teknolojia kutoka SUA. Ni hivi tokea nimalize masomo nimeangaika...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Niko na plan za kwenda kuinunua hii simu hivi karibuni, kwa wasifu nimeifuatilia inanifaa kwa matumizi yangu na ni latest kwa namna navyotaka! Nilikuwa nahitaji taarifa za bei halisi ya hii simu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu rejeeni mada tajwa hapo juu naomba kupata msaada kwa wale wataalamu wa mapambo ninataka kuanzisha biashara hiyo ningependa kupata muongozo wa jinsi ya upatikanaji wa vitambaa rangi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waafrika bado tupo nyuma kimaendeleo kwasababu hatuna foundation. Nani aliyesababisha? ukisoma history utajua tatizo tulikuwa watumwa wa wazungu. Wazungu hawakujenga shule nyingi wakati walipokuwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wazo la kuwa na kampuni ya private pension, wanachama wanapata malipo yao mara baada ya kustaafu. Kushawish waajiriwa na wafanyabiashara kujiunga. Hata wale wenye pension kwenye mifuko mengine...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo? Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umofia kwenu!! Nataka nimuanzishie Uncle wangu biashara ya kuuza slippers, mzigo anachukua Karume na kuuza pale Makumbusho! Naombeni Mwenye uzoefu tafadhali atupatie changamoto zake. Asanteni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom