Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mjasiriamali ninafanya kazi katika ofisi yangu ambayo nimeianzisha mwenyewe maeneo ya chanika Dar es salaam. Lengo haswa la kuja mbele yenu ninahitaji mtu abaye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jamiiforums Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu. Amenipa ofisi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Naomba kujua umuhimu au faida za kununua hisa na unapate faida..mweny ufahamu wa juu juu ya hili tafdhali msaada
1 Reactions
1 Replies
929 Views
Forbes Wametoa Listi ya watu 50 matajiri zaid afrika huku Listi ikiongozwa na Mnigeria Aliko Dangote(pichani ) Na kwa upande wa Nyumbani, Mtanzania(mwanasiasa) Wa kwanza ameonekana akiwa katika...
0 Reactions
139 Replies
64K Views
Kilo ya korosho pale airport departure lounge inauzwa karibu Tshs.20000. Kampuni ya Ali Baba ya China inatangaza bei ni dola 10 kwa kilo. Hii ni baada ya kuongeza flavors. 3000 bado...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani naulizia ushuru wa TRA kwa pikipiki inayoagizwa kutoka nje ukoje na pia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan?
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Wakuu niko katika mchakato wa biashara ya matofali ila ningependa kujua usahihi wa vipimo vinavyotakiwa katika matofali yasiyo kuwa na matundu (solid blocks) na kwa yale yenye matundu (hollow...
1 Reactions
4 Replies
21K Views
Kwa asilimia kubwa watu wengi wanaoanzisha biashara mara nyinyi huwa tayari wameshafanya utafiti kuhusu soko la biashara,eneo la kufanyia biashara na hata kujua mahitaji ya wateja Pamoja na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! Ningependa kufahamu ipi njia nzuri ya kumtumia mteja mzigo wake akiwa mkoani,ili uweze kumfikia salama na unaotengeneza Mazingira mazuri ya Uaminifu kati ya mfanyabiashara na Mteja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni packaging ya sembe kutoka Uganda inauzwa £8.00 kwa kilo mbili. Waganda si wakulima wa mahindi kama sisi lakini wamefanikiwa kuteka soko la unga wa ugali Ulaya waishindana na wa South Africa.
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019 baada ya makubaliano yaliyofanywa na kampuni ya Touchroad International Group ya nchini humo na bodi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar jf Biashara ya kubeti imekua ikishamili Siku adi Siku ...watu wamekua wakibeti kupitia online au katka mashine vilevile kwa mitandao kama voda,tigo na mingineyo Swali langu kuhusu kubeti...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Jana nilieleza machache kuhusu korosho. Leo ngoja niongeze 'nondo' kidogo; Kwanza nipongeze serikali kwa kuamua kuwanusuru wakulima kwa kununua korosho yao, ili kuwaepusha na hasara ikiwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Worth to have this in here! Aside numerous Airports underconstruction around the country (10 in total), modernization of our airspace is underway. Already 4 radars are being installed at Dar...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mafanikio katika mradi (wakati mwingine) huangaliwa ni kwa kiasi gani shughuli za mradi (project activities) zimetekelezwa ndani ya bajeti iliyopangwa. Utekelezaji wa mradi ndani ya bajeti hutokea...
9 Reactions
27 Replies
22K Views
Kuwa na mpango mkakati (strategic plan) katika biashara/kampuni yako ni jambo la msingi sana, hii hupelekea ufanisi na uhai mrefu wa biashara yako. Kwa mfano, katika makampuni 100 yenye mafanikio...
9 Reactions
38 Replies
9K Views
Kuna njia kuu mbili ambazo kampuni/biashara huweza kuzitumia katika kutekeleza mkakati wake wa kiushindani (Competititve Strategy) katika soko; njia hizi hujumuisha; Offensive tactic; hii...
13 Reactions
35 Replies
8K Views
Nimekaa na kufikiri namna ambavyo wasomi wa Taifa hili tulivyolisaidia Taifa letu. Nimekuja kugundua na kuhitimisha kuwa elimu tunayopata darasani, iwe katika nchi za wenzetu au masomo ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukisikiliza 'business ideas' za watu wengi utashangaa jinsi wanawaza kufanya biashara kubwa ambazo 'consumers' wake ni wenye vipato vya kati, while Wafanyabiashara wengi Matajiri wao siku zote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mahali nilisoma kwamba Tanzania ina zaidi ya milioni tatu amabazo nyingi ni ndogo ndogo almaarufu kama SMEs. Je katika kundi la SME, makadirio ya idadi ya biashara ambazo ni za saizi ya kati...
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Back
Top Bottom