Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Nchi ya Kenya imekuwa kinara wa uchumi kwa muda mrefu kwenye ukanda huu wa EAC lakini hali yake inazidi kuwa mbaya kadri ya siku zinavyozidi kusogea ukilinganisha na majirani zake ambao wanakuja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
A Sri Lankan parliamentarian has alleged he was offered a $2.8 million bribe to switch his allegiance and support the country’s new government as the island nation’s political crisis deepens...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kuwashirikisha hii fursa, kwangu nina kisima kirefu chenye maji mazuri sana yaani yamepoa hayana test ya chumvi kabisa. Nimeona kuna fursa kubwa kwenye biashara ya kuuza maji, kama yupo mtu...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari naomba kwa anayefahamu ifsc code za benki ya nmb anifahsmishe samahani kwa usumbufu
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Ndugu wana JF nawasalimu, Baada ya salam husikeni na kichwa cha mada, Kama kinavosema nina shida ya kupata mkopo na nina dhama ya biashara na kiwanja na pia ninaishi kwangu yaani sijapanga...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni biashara gani kijana anaweza kufanya akiwa na laki moja na nusu mkononi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na mabenk naomba muongozo wenu Mimi nikijana nimemaliza chuo tangu 2011,kwa kweli tangu nimemaliza chuo sijawahi kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine...
14 Reactions
120 Replies
13K Views
Ushauri wenu unahitajika, mtaji usizidi 10m Nawasilisha
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Kichwa Cha Habari Hapo Juu Chahusika, Ni Mtumishi Nipo Kanda Ya Ziwa. Tunahitaji Archives Boxes Kwajili Ya Matumizi Ya Ofisi Naomba Kusaidiwa Anwani ya Mzabuni Ambaye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani 1. New Zealand 2. Singapore 3. Denmark 4. Hong Kong 5. Korea 6. Georgia 7. Norway 8. US 9. UK...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naamini ni wazima wote humu ndani, leo naleta taarifa yamkini baadhi yenu wameijua hii lakini siamini kama kila mtu anaijua hii news, kabla ya kuelewa vibaya sifundishi what is bitcon au how to...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Baada ya kupata mwanga kuhusiana na Epson printer, Sasa ni wakati wa kuagiza mzigo unifikie. Kwa mujibu wa Jumia, Printer waliyo nayo ni mpya kabisa yenye Bottles 4 zenye wino wa kutosha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justine amesema benki hiyo imejipanga kuhakikisha uzalishaji wa maziwa unaongezeka hapa nchini ili kutoa fursa kwa...
1 Reactions
4 Replies
951 Views
Nina mkopo wa nmb ambao umebaki kiasi cha tzs 2,031,474.10 ambapo niliamua kwenda crdb kuona kama wanaweza kununua deni hivyo nilifika na afisa mikopo alinipigia hesabu akanambia naweza kupata tzs...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom