Five Kenyan youth have come together to set up a rain Water Harvesting Solution for Arid and Semi-Arid Land (ASAL) areas.
The project, which has won accolades from international community is...
Nafikiria kuanza kuwa nazungukia Ofisi za Taasisi mbalimbali nchini Tanzania hasa zile zenye ' Mabosi ' wakubwa wakubwa ( CEO's ) na ikibidi hata na Viongozi wa Serikali na Kitaifa ili niwe...
Bitcoin flirted with $17,000 on Thursday, triggering a warning the cryptocurrency was like a “train with no brakes” and prompting fresh concern about its looming launch on mainstream markets...
Habari zenu wakubwa ninatafuta partner wa kuingia nae mkataba, maana nina ujuzi kichwani wa kuwekeza kwenye sector ya ICT lakini sina pesa ya kuanzia nakuhakikishia kabisa faida ipo ndani ya mwezi...
Umefika muda sekta ya Vicoba itungiwe sheria ya kuwasimamia na kupewa chombo maalum cha kuwa mwangalizi wao kuliko ilivyo sasa haijulikani wapo wizara gani kati ya wizara ya fedha na mipango au...
Nianze kwa kuwasalimu nyote humu JF..Hakika JF ni kisima cha maarifa ambapo wote twajifunza vitu vingi humu,kwakufahamu hilo ndio sababu ya mimi Kuandika yangu machache siku ya leo
Ulimwengu wa...
Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address
Habari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.
Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila...
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa...
Habari wakuu
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.
Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara muda mrefu,nataka kuachana na biashara ili niangalie mambo mengine. Sasa nawezaje kuachana na hii leseni ya biashara na tini namba?
UTANGULIZI.
Masuala yanayohusiana na uhasibu yanachukuliwa na watu wengi kwamba yanaboa au hayaeleweki kutokana na kuhusisha hesabu ambazo kwa upande wangu naweza kusema huwa hazifundishwi...
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha...
Habar zenu wana JF, naomba kujuzwa kuhusu hatua za kuptia ili kufanya au kupata malipo, mfano ya google thru YouTube na social networks nyingine.... Pia kufanya manunuzi mtandaoni mfano...
Habari wana Jf
Nimekuwa na malengo ya muda mrefu nahitaji kuanzisha biashara ya kusapray bidhaa kwenye maduka ya rejareja
Bidhaa kama mafuta ya kura, sukuri, na betri
Hizi biashara nimekuwa...
Mimi siyo mchumi wala sijasomea mambo ya biashara ila kwa trend ninayoiona namna tunavyoenenda, kuna haja ya kuunda chombo cha kuwashauri wote SEKTA BINAFSI na SERIKALI kuhusiana na mambo ya...
Wakuu, nimepata jamaa yangu Yuko ulaya na anataka kuniletea mitumba Kama biashara. Tatizo Sina uelewa na biashara hii na pia yet hajui kitu hivyo anataka maelezo toka kwangu.
Anataka kujua jinsi...
Salaam bosses!
Naomba kwa mwenye uelewa namna ya kupata Swift code ani/atueleweshe( in case kama kuna mwenye tatizo kama langu)
Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.