Natumaini wrote hamjambo. Mimi hapa leo naomba kuuliza kama kuna MTU mwenye kujua kampuni inayojitambulisha kama Alliance in motion na shughuli zake hapa Tanzania.
Mm ni kijana nataka nianze kujumua mahindi kwa wakulima na kuweka gengeni kwangu niuze rejareja niko mkoa was mbeya tatizo langu in wapi kwa kuyapata ambapo yatakuwa kwa bei nafuu
Leo Rais John Pombe Joseph Magufuli (Sina hakika na mpangilio wa majina yake) amekagua magari ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yatakayotumika kusomba Korosho za wakulima zitakazonunuliwa na...
Nahitaji kukopeshwa milioni 1 nitarudisha baada ya mwezi 1 kwa kurudisha milioni 1 na laki 2 naweka dhamana ya simu IPhone 8 plus
Niko mwanza.
Mwenye kuvutiwa kusaidia karibu pm.
Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.
Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja...
Habarini za kwenu wadau wa masuala ya stocks. Naomba kujua juu ya ukweli kuhusu method sahihi ya kutumia kufanya uamuzi juu ya uchaguzi wa hisa za kununua sokoni kati ya fundamental analysis...
Habari wana jukwaa
Lengo la kuanzisha uzi ni kupeana mbinu na maujanja katika biashara hii maana ni mwaka sasa nipo kwenye hii biashara lakini kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa nane nlianza mkakati wa...
By SPECIAL CORRESPONDENT
IT is no doubt that the three years of President Magufuli in power has ushered in significant progress for Tanzania but this is not good news for prophets of doom whose...
Wapendwa salaamu;
Mungu Mwenye enzi na mamlaka zote anatulinda vyema sisi kama Taifa pendwa la Tanzania.Binafsi naipenda Tanzania.
Nijikite kwenye hoja yangu :
Tanzania ni nchi ya amani ambayo ni...
Ninafanya biashara ya reja reja sehemu ninayoishi, nauza nguo za watoto.
Mwaka huu TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa Kuliko uwezo wa biashara ninayoifanya.
Mtaji ulioabdikwa kwamba ndio uko...
Wadau,,,tupo kwenye mchakato wa mwisho mwisho wa kuanzisha N.G.O,ambapo kwa sasa tunasubiria green light toka ofisi ya msajiri wa vyama vya hiyari(toka wizara ya mambo ya NDANI),namaanisha kupewa...
Habarini wadau..nifahamishen mwenzenu biashara ya usafiri uber ama taxify.na malipo sasa yakoje kwa mwenye gari anapewa kias gan kwa wiki..ukiangalia bei zimeshuka...
Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna...
Habari wapishi na walaji.
Nina wazo la kuanza kuuza hizi pilipili kwa ku TENGENEZA na Kupaki. Kwa yule anaefanya hii biashara au mwenye ujuzi wa Kuandaa hii kitu anipe maujuzi jinsi ya...
Kuna mwanamke nimekutana nae facebook
Alianza kwaniuliza naishi wapi, nafanya kazi gani nikamwambia,
Nae akasema anafanya kazi ya kutoa taarifa na kulipwa
Katika kampuni moja linaloitwa EDMARK...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza sana NMB kwa kuleta huduma hii ambapo mfanyakazi anakuwa na uwezo wa kukopa mpaka asilimia 40 ya mshahara wake(take home bila shaka)
Huduma hii ya mkopo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.