Salaam wakuu,
Naomba kujuzwa zao LA biashara linalojiuza sokoni bila kumpa stress mkulima,itapendeza zaid likiwa linastahimil ukame na la muda mfupi.Kama kuna mchanganuo pia kuhusu...
Wadau hakuna Branch inayoongoza kwa kusumbua wateja DSM kama branch ya Lumumba mkabala na stendi ya mnazi mmoja.
Huduma ya mikopo wamekuwa wasumbufu mno, kiasi cha kukatisha tamaa. Wanajinadi...
Kwa muda mrefu serikali inajitahidi kupambana na usafirishaji wa pesa haramu kwa hili ambazo hazipiti kwenye dola yetu.
Kwa zaidi ya miaka kadhaa barabara ya 11 pale Tanga watu wanauza fedha za...
Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja...
Wanajamvi naombeni msaada kwa anayejua ni taratibu gani zinatakiwa kufuatwa kwa mtu anaye taka kuwa wakala wa bia au soda na je faoda yake inapatikanaje?
Nilitoa maada kuhusu Wizi wa CRDB na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana...
*Hii taarifa imeanzia ivory coast*
Cashew nut farmers and exporters in Ivory Coast are seeing a slump in sales as Vietnamese exporters try to get out of contracts following a drop in world...
NAIROBI (Reuters) - Tanzania's plan to buy the country's entire 2018 cashew nut crop could lead to a global shortage, with processors in Vietnam and India likely to be hit first, traders said...
Habarini wana jukwaa, napenda kupata muongozo kuhusu hii biashara ya vyuma chakavu je inaitaji mtaji kiasi gani kuifanya, hapa nina maana ya kwamba mimi niko mkoani, nifungue ofisi ya kununua...
Wakuu nipo katika mchakato wa ujenzi wa Nyumba yangu maeneo ya mile moja kibaha lakini Nina shauku ya kujua Sana njia ipi nzuri ya kupunguza gharama ya ufundi Kati ya kumtafuta fundi na kumkabidhi...
Wana Jf, kama kinavyosimeka kichwa cha habari hapo juu"UFADHILI".
Ninatafuta & kuitaji mfadhili wa kuninunulia PIKIPIKI ya Mkataba, maalum kwa kufanyia BODABODA.
Ufadhili usio & mashart magumu &...
nasikia kuwa nchi ya Zimbabwe kwa sasa inatumia dollar ya Marekani kama fedha yao. je hili linawezekana vipi kwa maana nchi inapata wapi supply ya dollar nyingi kiasi cha kuwezesha kila raia kuwa...
Habari wadau;
Biashara inauzwa 51%
Atakayenunua atakuwa mmiliki kwa asilimai 51%
Kwanza hii sio biashara kubwa in terms of assets and cashflow kwa sababu ya namna ya uendeshaji wake ila kwa...
Wakuu natumaini ni wazima wa afya mimi kuna sehemu niliazisha biashara yangu muda kidogo niseme kama lile eneo limevamiwa baada ya mimi kuja pale wamekuja watu kama kumi wote wanabiashara kama...
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Air Tanzania ndugu Nkwabi ameelezea kwamba ATCL itaanza safari za kwenda Guangzhou kupitia Bankok mwezi Februari 2019.
Ndege itakuwa ni Boeing 787-Dreamliner...
Wakuu hembi nipeni ushauri juu ya hili.
Kuna sheem nimenunua ila ipo nje ya mji na umeme hakuna.
Nilikuwa nataka kuanzisha kiwanda cha kufyatulia tofali wakati huu mji haujaanza ili ukichanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.