Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Five Kenyan youth have come together to set up a rain Water Harvesting Solution for Arid and Semi-Arid Land (ASAL) areas. The project, which has won accolades from international community is...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Nafikiria kuanza kuwa nazungukia Ofisi za Taasisi mbalimbali nchini Tanzania hasa zile zenye ' Mabosi ' wakubwa wakubwa ( CEO's ) na ikibidi hata na Viongozi wa Serikali na Kitaifa ili niwe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwana jf yeyote ambaye amesha wai kufanya biashara na awajamaa wa #Kikuu naitaji kujua kama uwaminifu wao na utatibu wao upoje Mchana mwema
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bitcoin flirted with $17,000 on Thursday, triggering a warning the cryptocurrency was like a “train with no brakes” and prompting fresh concern about its looming launch on mainstream markets...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa ninatafuta partner wa kuingia nae mkataba, maana nina ujuzi kichwani wa kuwekeza kwenye sector ya ICT lakini sina pesa ya kuanzia nakuhakikishia kabisa faida ipo ndani ya mwezi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Umefika muda sekta ya Vicoba itungiwe sheria ya kuwasimamia na kupewa chombo maalum cha kuwa mwangalizi wao kuliko ilivyo sasa haijulikani wapo wizara gani kati ya wizara ya fedha na mipango au...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Nianze kwa kuwasalimu nyote humu JF..Hakika JF ni kisima cha maarifa ambapo wote twajifunza vitu vingi humu,kwakufahamu hilo ndio sababu ya mimi Kuandika yangu machache siku ya leo Ulimwengu wa...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer Ni Pm nikutumie hiyo address
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi. Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habari wakuu Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Mimi nimekuwa nikifanya biashara muda mrefu,nataka kuachana na biashara ili niangalie mambo mengine. Sasa nawezaje kuachana na hii leseni ya biashara na tini namba?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
UTANGULIZI. Masuala yanayohusiana na uhasibu yanachukuliwa na watu wengi kwamba yanaboa au hayaeleweki kutokana na kuhusisha hesabu ambazo kwa upande wangu naweza kusema huwa hazifundishwi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha...
3 Reactions
18 Replies
10K Views
Habar zenu wana JF, naomba kujuzwa kuhusu hatua za kuptia ili kufanya au kupata malipo, mfano ya google thru YouTube na social networks nyingine.... Pia kufanya manunuzi mtandaoni mfano...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Habari wana Jf Nimekuwa na malengo ya muda mrefu nahitaji kuanzisha biashara ya kusapray bidhaa kwenye maduka ya rejareja Bidhaa kama mafuta ya kura, sukuri, na betri Hizi biashara nimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mimi siyo mchumi wala sijasomea mambo ya biashara ila kwa trend ninayoiona namna tunavyoenenda, kuna haja ya kuunda chombo cha kuwashauri wote SEKTA BINAFSI na SERIKALI kuhusiana na mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, nimepata jamaa yangu Yuko ulaya na anataka kuniletea mitumba Kama biashara. Tatizo Sina uelewa na biashara hii na pia yet hajui kitu hivyo anataka maelezo toka kwangu. Anataka kujua jinsi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Salaam bosses! Naomba kwa mwenye uelewa namna ya kupata Swift code ani/atueleweshe( in case kama kuna mwenye tatizo kama langu) Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…