Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa
Biashara hizi zilizopo mtaani
Maduka ya vitu vya rejareja
Maduka ya...
SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC)
● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT)
⚫️...
Jamani kwa wale wajasiliamali na wapambanaji hasa wanaoaguza mizigo kutoka china kuja Tanzania ni kampuni ipi ni nzuri kusafilishia mizigo kwa njia ya ndege na bahari.
Wawe waaminifu
Wakuu habari za majukumu,
Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki.
Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi...
Habari wanaJF.
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku naomba kupata wenye uzoefu na hii biashara ya gym iko je, nataka nifungue sehemu fulani...
Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa...
Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana,
Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao
(Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
Habarini wawekezaji
Naombeni ushauri kwa mlionitangulia.
Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara.
Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia...
● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi
● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania
● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika
⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia...
Nawasalimu popote mlipo,
Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya
Siku ya Jana...
Habarini wakuu..! Poleni na mihangaiko, nilikua naombeni maoni ninahitaji kuanzisha biashara hapa morogoro. So kwa wenyeji wa mji huu nilitaka kujua biashara gani zipo vizur kwenye kutengeneza...
Miongoni mwa misemo maarufu mitaani ni pamoja na ule usemao “hakuna vya bure,” na kwa watumiaji wa lugha ya Kiingereza nao wanao usemao, “No free lunch.”
Hivi sasa, hii misemo ipo bayana kwa nchi...
What is the 'Foreign Exchange Market'?
The foreign exchange market is the market in which participants are able to buy, sell, exchange and speculate on currencies such as (tsh, $s, euro,pound...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu...
Wakuu nimeliangalia vizur suala la ubunifu kama sehemu ya kufanikiwa kimaisha na kuziona fursa. Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali mitaani nina wazo la kufungua kampuni itakayokuwa inajihusisha...
Kuna watu kibao humu JF walituasa kwamba Forex ni utapeli hilo kwanza napingana nalo kwa nguvu zote sababu sio kweli kwamba forex ni utapeli kabla sijafunguka mengine niwathibitishie...
Hivi hii biashara ya daladala inachangamoto zipi hasa hadi kupeleke wamiliki wake kuamua kuyauza baada ya muda ili kuepuka kufilisika, nilitaka ninunue walau 2 nione inakuaje, lakini nakatishwa...